Hapo siasa za uchaguzi zinaanzia wapi? Mbona mimi naona kama Waziri mstaafu yuko kwenye mishe za utafutaji baada ya kufulia kifedhaWenyewe CCM wanasema huu ndiyo wakati wa kupigishana shoti,hapo Kawambwa keshapigwa shoti.
Mbunge wa sasa wa Bagamoyo anaangalia hii video huku anatabasamu.
Uchaguzi umekaribia tutashuhudia vituko vya kila aina.
Mwanawe wa dhahabu jk anadhalilika!View attachment 2973546
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye udalali/ utapeli wa viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha
Kweli siasa ni nyokooo!!