Shule Binafsi zinazotoa elimu bora ni zipi?

thanks mkuu Marian nzur sema washafanya interview na mm ckujua

unataka kuniambia waliomaliza form 4 mwaka jana washafanya interview ya kuingia advance Marian Boys? kwa matokeo yapi? au ni wale ambao tayari mpo advance ila mnataka kuhamia?
 
unataka kuniambia waliomaliza form 4 mwaka jana washafanya interview ya kuingia advance Marian Boys? kwa matokeo yapi? au ni wale ambao tayari mpo advance ila mnataka kuhamia?
washafanya wk 3 zlzopta na matokeo yao yametoka
 
alpha ni almost 5m,,,st joseph cathedral ni almost 5m ila alpha ndo ina day hii st jo haina,,,shabaan robert wako vizuri sana iwapo una mtoto anayejitambua ila yenyewe ni day na ada ya kawaida
 
alpha ni almost 5m,,,st joseph cathedral ni almost 5m ila alpha ndo ina day hii st jo haina,,,shabaan robert wako vizuri sana iwapo una mtoto anayejitambua ila yenyewe ni day na ada ya kawaida

Mara 10 msolwa
 
alpha ni almost 5m,,,st joseph cathedral ni almost 5m ila alpha ndo ina day hii st jo haina,,,shabaan robert wako vizuri sana iwapo una mtoto anayejitambua ila yenyewe ni day na ada ya kawaida

Vipi mkuu,
Unadondoo kuhusu school fees ya St MariaGoreth?
 
Mwanangu ni miongoni mwa waliokosa nafasi ya kujiunga kidato cha tano ana point 29 na ana B katika civics C katika History,Kiswahili,English na Biology na D katika Math, Physics, Chemistry, Geography na Agriculture.
Nimeona badala yakusubiri second selection nimpeleke shule ya Private katika maeneo ya Moshi na Arusha
Hivyo mwenye kufahamu shule nzuri yenye combi za HGE,HGL na za bweni
Iwe ya wanaume au mchanganyiko kwani mwanangu ni wa kiume naomba anisaidie.
 
Duhhh....Catholic schools almost zote zilifungua shule zao tangu May.....
Nimesema Catholic coz so far ndio shule bora Tanzania....
 
Ila huo ufaulu kwa shule za Kanisa ajiandikie kukosa...

Jaribu Edmund Rice Sinon, na Bishop Durning....(Kwa Arusha)

Kwa Moshi jaribu Northen Highland...
 
Nmemalza fom 4 natafuta shule ipi ni nzuri yenye comb za sayanc(PCB) ambayo pia Ada zao sio ngumu sana vizur ikiwa kanda ya kaskazin au popote tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…