Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks mkuu Marian nzur sema washafanya interview na mm ckujua
washafanya wk 3 zlzopta na matokeo yao yametokaunataka kuniambia waliomaliza form 4 mwaka jana washafanya interview ya kuingia advance Marian Boys? kwa matokeo yapi? au ni wale ambao tayari mpo advance ila mnataka kuhamia?
kama una PSA nenda alpha,st Joseph cathedral au shabaan robert
hujajibu swali bado.washafanya wk 3 zlzopta na matokeo yao yametoka
yan walomaliza 4m 4 washafanya interview marian boyz na wameshachaguliwa ila sijui wataenda shule lini na hilo suala la kusubil matokeo. ya necta sijajuahujajibu swali bado.
alpha ni almost 5m,,,st joseph cathedral ni almost 5m ila alpha ndo ina day hii st jo haina,,,shabaan robert wako vizuri sana iwapo una mtoto anayejitambua ila yenyewe ni day na ada ya kawaida
alpha ni almost 5m,,,st joseph cathedral ni almost 5m ila alpha ndo ina day hii st jo haina,,,shabaan robert wako vizuri sana iwapo una mtoto anayejitambua ila yenyewe ni day na ada ya kawaida
St joseph millenium, agape seminary, mariagoreth. Hizo ni shule nzuri pia
Nitajie hata kama wamefungua toka MayDuhhh....Catholic schools almost zote zilifungua shule zao tangu May.....
Nimesema Catholic coz so far ndio shule bora Tanzania....
Nmemalza fom 4 natafuta shule ipi ni nzuri yenye comb za sayanc(PCB) ambayo pia Ada zao sio ngumu sana vizur ikiwa kanda ya kaskazin au popote tu