Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Hello wanajukwaa,

Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!?

Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu!

Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo wameajiriwa serikalini na sekta binafsi.

Mwanao,akianza atafundishwa na kuelekezwa kipaji chake Ni nini!

Tunakuhakikishia kwamba mwanao,atakuwa very bright and competent kwani, tuna ujirani mwema na shule za vipaji maalumu ilboru,msalato na kisimiri! Hivyo kumfanya mwanao awe competent!

Msemo wetu Ni, "passion first and everything will fall into place"

Nicheki whatsup,txt au piga simu ili kupata maelezo zaidi! Na jinsi ya kujiunga!

+255621082183
 
tuna ujirani mwema na shule za vipaji maalumu ilboru,msalato na kisimiri! Hivyo kumfanya mwanao awe competent!
Hii kufaulu mno masomo ya darasani nadhani imekuwa outdated. Awe kawaida tu apate two inatosha.na sio kukariri mno vitabu baadaye ayatapike kwenye mtihani niwe proud.
Yaani mtaani awe na A's za kutosha Ila shuleni akiwa na C's ndio priority. Hizo vipaji nimepitamo Ni kawaida. Yaani sijui hii dunia Kuna mtu anakuwa proud na mwanae kufaulu mno. Supply mtaani Ni kubwa mtaani ya wasomi. Kama huamini tangazq nafasi ya walimu shuleni kwako utapokea maombi utapata karatasi za kutengenezea bahasha za kutosha na postal watapigaa hela za kutosha.

Inatakiwa life or street smart/skills na sio schools skills. Ninaye hapa mmoja Ile mie nahitaji awe anashinda mno tennis court. Kama unao sports coachers and psychology nikupe kichwa. Ila mpaka awe Kama Serena Williams ndio tunalipana Mana mie sihitaji awe na degree. Talent inapandwa naamini icho.

Usije ukamaindi
 
Thanks Great thinker
 
Nahitaji shule ya kumfundisha mtoto wangu wa miaka 3 mambo ya:-
  • mpira au
  • muziki au
--riadha au
- sanaa ya uchoraji

Sitaki mambo ya kumwambia mwanangu eti first law of ....fuvu la Mkwawa sijui limefanyaje, scientific name of.....wakloloni walikuja Afrika kutafuta...n.k

Tubadilike!
 
Karibu Nazarene

Nataka mumtengeneze mwanangu awe kama JK presdaa.
A man who hit only the intended button.
Mwingi wa maarifa na busara
 
The best idea ever. Mie I think hizi talent pamoja na kwamba ni nurtured but ni inborn.
It's time the whole thinking is revamped. We are losing so much talents, eti wakawe madaktari. Mie I enjoy analysis na si upuuzi wa routine work.
 
Hello wanajukwaa,

Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!?

Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu!

Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo wameajiriwa serikalini na sekta binafsi.

Mwanao,akianza atafundishwa na kuelekezwa kipaji chake Ni nini!

Tunakuhakikishia kwamba mwanao,atakuwa very bright and competent kwani, tuna ujirani mwema na shule za vipaji maalumu ilboru,msalato na kisimiri! Hivyo kumfanya mwanao awe competent!

Msemo wetu Ni, "passion first and everything will fall into place"

Nicheki whatsup,txt au piga simu ili kupata maelezo zaidi! Na jinsi ya kujiunga!

+255621082183
Weka matokeo ya shule kwa miaka mitatu mfululizo form 2 na 4 alaf tuambie strategy za shule sio kusema wanapata kazi serikalini huu ni uongo bhana .

Tuambie shule imekua ya ngapi ki wilaya mkoa na taifa ufaulu umeongezeka kwa kiwango gani kwa miaka mitatu mfululizo je imepanda au imeshuka na unipe sababu za ufaulu kupanda.

Je kuna tuzo yoyote ya ubora wa shule mlioipata mfano kuna shule ipo wilaya ya mwanga nikiwa dodoma mwezi Wa sita walipokea tuzo ya kuboresha ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo tena ni shule ya kata. je wewe shule yako imepata kitu gani na ukiweke hapa tukione.

Unakuja kutangaza shule badala shule ijitangaze biashara inajulikana ila hamna shule hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akijibu nitag mkuu

Nina mtoto wa form 2 na darasa la kwanza 2023

Nimekupm
 
Nahitaji shule ya kumfundisha mtoto wangu wa miaka 3 mambo ya:-
  • mpira au
  • muziki au
--riadha au
- sanaa ya uchoraji

Sitaki mambo ya kumwambia mwanangu eti first law of ....fuvu la Mkwawa sijui limefanyaje, scientific name of.....wakloloni walikuja Afrika kutafuta...n.k

Tubadilike!
Binafsi natamani shule inayofundisha watoto maarifa zaidi, kuliko kukariri!! Miaka nenda watoto wanakaririshwa "what is Biology? What is Archmedes Principle? What is Oral tradition?" Halafu eti yule bingwa wa kukariri ndiyo anatambulika kama ndiyo mwenye akili kuliko wengine!

Mitaala ya kijinga kabisa! Pumbavu!!!
 
Back
Top Bottom