Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

Binafsi natamani shule inayofundisha watoto maarifa zaidi, kuliko kukariri!! Miaka nenda watoto wanakaririshwa "what is Biology? What is Archmedes Principle? What is Oral tradition?" Halafu eti yule bingwa wa kukariri ndiyo anatambulika kama ndiyo mwenye akili kuliko wengine!

Mitaala ya kijinga kabisa! Pumbavu!!!
Ni kweli, Ni ya kijnga lakini Kama haijafutwa hatuna Budi kuifata
 
Hello wanajukwaa,

Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!?

Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu!

Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo wameajiriwa serikalini na sekta binafsi.

Mwanao,akianza atafundishwa na kuelekezwa kipaji chake Ni nini!

Tunakuhakikishia kwamba mwanao,atakuwa very bright and competent kwani, tuna ujirani mwema na shule za vipaji maalumu ilboru,msalato na kisimiri! Hivyo kumfanya mwanao awe competent!

Msemo wetu Ni, "passion first and everything will fall into place"

Nicheki whatsup,txt au piga simu ili kupata maelezo zaidi! Na jinsi ya kujiunga!

+255621082183
Nataka Mwanangu aingie hapo,nipe utaratibu
 
Soma alieuliza kwanza, aliuliza kwamba, hataki wanawe wawe kama nanii,

Na Mimi nikajibu ,hawezi kuwa Kama nanii,sisi tunatoza full mawaziri!
Jibu swali ilo"Weka matokeo ya shule kwa miaka mitatu mfululizo form 2 na 4 alaf tuambie strategy za shule sio kusema wanapata kazi serikalini huu ni uongo bhana .

Tuambie shule imekua ya ngapi ki wilaya mkoa na taifa ufaulu umeongezeka kwa kiwango gani kwa miaka mitatu mfululizo je imepanda au imeshuka na unipe sababu za ufaulu kupanda.

Je kuna tuzo yoyote ya ubora wa shule mlioipata mfano kuna shule ipo wilaya ya mwanga nikiwa dodoma mwezi Wa sita walipokea tuzo ya kuboresha ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo tena ni shule ya kata. je wewe shule yako imepata kitu gani na ukiweke hapa tukione.

Unakuja kutangaza shule badala shule ijitangaze biashara inajulikana ila hamna shule hapo"
 
Nitakujibu mkuu
 
Nilivyofika tu hapa

'Ni shule pekee ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo wamepata ajira serikali na sekta binafsi'

Nikaacha na kusoma.. promo za aina hii ni za kijinga na kitoto sana.
 
Back
Top Bottom