bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli, Ni ya kijnga lakini Kama haijafutwa hatuna Budi kuifataBinafsi natamani shule inayofundisha watoto maarifa zaidi, kuliko kukariri!! Miaka nenda watoto wanakaririshwa "what is Biology? What is Archmedes Principle? What is Oral tradition?" Halafu eti yule bingwa wa kukariri ndiyo anatambulika kama ndiyo mwenye akili kuliko wengine!
Mitaala ya kijinga kabisa! Pumbavu!!!
Ndio,karibu hata form 4 au form 2Je, naruhusiwa kuhamishia mtoto form 3?
Mbona unatupa maneno tu weka na picha watu waoneKaribu Nazarene
Nataka Mwanangu aingie hapo,nipe utaratibuHello wanajukwaa,
Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!?
Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu!
Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo wameajiriwa serikalini na sekta binafsi.
Mwanao,akianza atafundishwa na kuelekezwa kipaji chake Ni nini!
Tunakuhakikishia kwamba mwanao,atakuwa very bright and competent kwani, tuna ujirani mwema na shule za vipaji maalumu ilboru,msalato na kisimiri! Hivyo kumfanya mwanao awe competent!
Msemo wetu Ni, "passion first and everything will fall into place"
Nicheki whatsup,txt au piga simu ili kupata maelezo zaidi! Na jinsi ya kujiunga!
+255621082183
Mfano waziri Gani.Shule yetu inatoa mawaziri lakini sio Kama "naniii"
Kwani wewe,nanii unamjua?Mfano waziri Gani.
Usilete utani kwenye mambo ya msingi.
Kwa majibu haya sichelewi kukuita fangasiKwani wewe,nanii unamjua?
Soma alieuliza kwanza, aliuliza kwamba, hataki wanawe wawe kama nanii,Kwa majibu haya sichelewi kukuita fangasi
Jibu swali ilo"Weka matokeo ya shule kwa miaka mitatu mfululizo form 2 na 4 alaf tuambie strategy za shule sio kusema wanapata kazi serikalini huu ni uongo bhana .Soma alieuliza kwanza, aliuliza kwamba, hataki wanawe wawe kama nanii,
Na Mimi nikajibu ,hawezi kuwa Kama nanii,sisi tunatoza full mawaziri!
Nitakujibu mkuuJibu swali ilo"Weka matokeo ya shule kwa miaka mitatu mfululizo form 2 na 4 alaf tuambie strategy za shule sio kusema wanapata kazi serikalini huu ni uongo bhana .
Tuambie shule imekua ya ngapi ki wilaya mkoa na taifa ufaulu umeongezeka kwa kiwango gani kwa miaka mitatu mfululizo je imepanda au imeshuka na unipe sababu za ufaulu kupanda.
Je kuna tuzo yoyote ya ubora wa shule mlioipata mfano kuna shule ipo wilaya ya mwanga nikiwa dodoma mwezi Wa sita walipokea tuzo ya kuboresha ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo tena ni shule ya kata. je wewe shule yako imepata kitu gani na ukiweke hapa tukione.
Unakuja kutangaza shule badala shule ijitangaze biashara inajulikana ila hamna shule hapo"