KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Mar 15, 2023 #1 Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school. Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma, pwani,mwanza n.k Natanguliza shukrani wakuu.
Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school. Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma, pwani,mwanza n.k Natanguliza shukrani wakuu.
wilsonwizzo3 JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 625 Reaction score 2,704 Mar 15, 2023 #2 Mwanza:Bwiru girls
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Mar 15, 2023 Thread starter #3 wilsonwizzo3 said: Mwanza:Bwiru girls Click to expand... Shukrani mkuu
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Mar 16, 2023 #4 japo hujasema ya private au ya serikali? dodoma = msalato mwanza= bwiru girls moro= Dakawa high school
japo hujasema ya private au ya serikali? dodoma = msalato mwanza= bwiru girls moro= Dakawa high school
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Mar 16, 2023 Thread starter #5 Kinoamiguu said: japo hujasema ya private au ya serikali? dodoma = msalato mwanza= bwiru girls moro= Dakawa high school Click to expand... Za serikali mkuu
Kinoamiguu said: japo hujasema ya private au ya serikali? dodoma = msalato mwanza= bwiru girls moro= Dakawa high school Click to expand... Za serikali mkuu
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Mar 16, 2023 #6 Tabora girls ndo mwisho wa matatizo, ila ni special school
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 17, 2023 #7 Dodoma, kuna Dodoma sekondari. Msalato siyo kwa kuingia bila hodi! Kule ni kwa wale watoto vipanga.
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 2,780 Reaction score 3,733 Mar 17, 2023 #8 Tate Mkuu said: Dodoma, kuna Dodoma sekondari. Msalato siyo kwa kuingia bila hodi! Kule ni kwa wale watoto vipanga. Click to expand... DODOMA SEC hakuna shule hapo!!! DODOMA ukiondoa Msalato ambayo ni Special, sizani kama kuna shule nzuri kwa girls hasa Sciences Kama MWANZA nenda Nganza Girls au Bwiru Girls ila kwangu Nganza ndio Bora zaidi
Tate Mkuu said: Dodoma, kuna Dodoma sekondari. Msalato siyo kwa kuingia bila hodi! Kule ni kwa wale watoto vipanga. Click to expand... DODOMA SEC hakuna shule hapo!!! DODOMA ukiondoa Msalato ambayo ni Special, sizani kama kuna shule nzuri kwa girls hasa Sciences Kama MWANZA nenda Nganza Girls au Bwiru Girls ila kwangu Nganza ndio Bora zaidi
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Mar 17, 2023 #9 Gold hunter said: Tabora girls ndo mwisho wa matatizo, ila ni special school Click to expand... Uspesho wake ni nini?
Gold hunter said: Tabora girls ndo mwisho wa matatizo, ila ni special school Click to expand... Uspesho wake ni nini?