Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana
Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
Kijana Nyanda Banka aliamua kutafuta watu afundishe kiingereza lakin wapi.. Hali si shwari kweli kweliAcha kulialia, Wahenga waliposema maisha ni safari ulifikiri wanaongelea bia?
Pole ila sisi wengine shule imetunyooshea maisha. Sasa tunakula kwenye kiyoyozi tu.Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana
Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
Nyanda Banka nakukumbuka kwenye debate kipindi tunasoma, siku unatetea "education is better than money" ulitetea Kwa nguvu Hadi misuli ya shingo ikakutoka, nilipojarbu kukupinga ukanikaba Hadi vifungo vya shati vikakatika..Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana
Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
Unadhani hawatakuwepo makanali watiifu Kwa wananchi wakakutia vidole na kuisababusha Dunia kulaani kitendo chao?Vijana mnakwenda kusoma mnapata ma boom mnaenda kuruka majoka kidimbwi na kunyooshea milupo , mnashindwa kuanzisha vimiradi huko chuo ,siku mkimaliza mnazunguka na pc kutwa kuchwa na vi slipa , mambo yakiwa magumu mnaanza kulalama .
Siku nikiwa raisi nitawanyoosheni vilivyo vijana legelege sana hawaπ
Bado sijakuelewa mkuu ulicho kimaanisha ila nahisi umenitukanaπππ.Unadhani hawatakuwepo makanali watiifu Kwa wananchi wakakutia vidole na kuisababusha Dunia kulaani kitendo chao?
Haijakupotezea muda ni kwamba huna connection,wenye connection wanamaliza wanaingia vitengoni.Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana
Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
Mi ndo mana sikusoma saana,Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana
Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
Kweli huku Duniani hakuhitaji wanaume lelemama πππSiku ukijua dunia haihitaji ulelemama utafuta ulichoandika.
Yaani dunia haitaki umlaumu mtu au kitu, hairudi nyuma yenyewe ni mbelembele tu. Huko nyuma tumia kama historia na rejea tu huku ukiendelea kupiga kwata kusonga mbele.
Ukikaa kinyonge ati ujute na kusikitika, dunia inakuacha na haikupi support kukushika bega kukutia moyo badala yake inakulamba mikwaju ya kulala njaa, kuumwa, madeni na majanga ya kutia mimba mwanafunzi ili ushike tama na kujuta vizuri.
Wanaoshindwa na mikwaju kuwalemea unaona anajitundika au kunywa sumu ila options zipo ni vile akili unakua umeistakisha kwenye kuilaumu elimu ati haijakusadia.
Kijana AMKA.
Sio hamna kitu ni wewe huna connectionMi ndo mana sikusoma saana,
Nilijua tu huku mbele hamna kitu.