Shule inawapotezea sana muda vijana.
Unapoteza miaka 20 shulenii, halafu ukimaliza unaambiwa HAKUNA KAZI KAENDESHE BODABODA!
ATI?
Kwanini usingeanza kuendesha hiyo bodaboda toka zamani wakasubiri mpaka upoteze miaka ishirini ndio wakwambie ukaendeshe bodaboda?
Umepoteza muda, wakati, fedha na mali, na zaidi utaambulia MSONGO WA MAWAZO, AIBU NA PSYCHOLOGICAL TORTURE.
Serikali iache kupotezea watu muda. HUU NDIO UKWELI.
Nashauri elimu ya sekondari na chuo ifutwe au IPUNGUZWE KABISA, watu wakasome VETA au WAKALIME.
Chuo kisizalishe watu zaidi ya hamsini kwa mwaka. BINYA KABISA ILE HIERARCHY YA ELIMU YA JUU IWE PYRAMID FINYU KABISA KUELEKEA JUU, wengine wote waishie chini huku kwenye kazi za mikono, kilimo, ufundi na ubunifu.
TUSIPOTEZEANE MUDA!! Kwa elimu gani baanaa??? WHAT IS MAJI MAJI WAR?? Eboooo!!!!!
Cc:
Dkt. Gwajima D ndalichako mwigulu Nchemba
Cc:
Lamomy