INAUZWA Shule inauzwa Dodoma

INAUZWA Shule inauzwa Dodoma

Sasa ndio naamini kabisa hela ya Tanzania haina thamani yoyote inaweza kuwa sawa sawa na Shillings ya SOMALIA maana wao hela wanakusanya kwenye Matololi kama hii sehemu inauzwa MILLION 500 ni majanga makubwa.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Nimeongea Na CAG Aende Akaione Shule Atupe Jibu
 
SHULE INAUZWA DODOMA.

-Eneo lina Ukubwa wa Heka 15.
-Bei ni Milioni 500 tu(500,000,000) unaweza kulipa kwa Awamu pia na Mazungumzo yapo.
-Shule inaunzwa iko Dodoma Wilaya ya Chamwino Km 7 toka Chamwino Ikulu.
-Lakini pia pia sio mbali kutoka Mji wa Serikali.
-Shule ina Majengo Manne na Miundombinu kama Vyoo.
-Shule ina Wanafunzi na Walimu wanaendelea na Masomo.

Mawasiliano:
+255 (0) 625646266

Mbona miundombinu mbinu ya shule ipo mahatuti hivyo?!!!
 
Jamaaulshindwa hata kupanda miti ya Dodoma ambayo ni ever green...!
Ona sasa majengo hayana mvuto kabisa ,ni kana Kambi ya wajenzi was Barbara!
 
Back
Top Bottom