Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Nimeongea Na CAG Aende Akaione Shule Atupe JibuSasa ndio naamini kabisa hela ya Tanzania haina thamani yoyote inaweza kuwa sawa sawa na Shillings ya SOMALIA maana wao hela wanakusanya kwenye Matololi kama hii sehemu inauzwa MILLION 500 ni majanga makubwa.
Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app