dorge
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 258
- 393
Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora.
Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema.
Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada. Ila hapa ikumbukwe shule kama st Francis hawajali chochote.
Watoto wanafanyishwa mitihani bila ridhaa ya wazazi.wao. hii ni kidnapping.
Shule zote zilizofanha hizo ziombe msamaha haraka sana. Serikali kwenye hili haipaswi kukaa kimya. Huu sio uungwana