Pumba tupuNi ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora.
Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema.
Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada. Ila hapa ikumbukwe shule kama st Francis hawajali chochote.
Watoto wanafanyishwa mitihani bila ridhaa ya wazazi.wao. hii ni kidnapping.
Shule zote zilizofanha hizo ziombe msamaha haraka sana. Serikali kwenye hili haipaswi kukaa kimya. Huu sio uungwana
Soma we mwenyewe elewa then utueleweshe na sisiNi ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora.
Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema.
Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada. Ila hapa ikumbukwe shule kama st Francis hawajali chochote.
Watoto wanafanyishwa mitihani bila ridhaa ya wazazi.wao. hii ni kidnapping.
Shule zote zilizofanha hizo ziombe msamaha haraka sana. Serikali kwenye hili haipaswi kukaa kimya. Huu sio uungwana
Hili zoezi mbona lipo miaka mingi ndugu, kwa mfano taasisi zenye shule za msingi na sekondari nikawaida kuwafanyisha mitihani ya kujiunga na shule zao za sekondari lakini bado haikulazimishi kama mzazi kupeleka mtoto wako kwenye shule husika. Lakini pia kwa wazazi pia huwa kunakuwa na unafuu flani hasa kwa wazazi wale ambao wanapenda watoto wao wasome kwenye shule zenye imani wanayoamini. HIVO SI AJABU WALA HAUSIANI NA ADA.Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora.