Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok mkuu tuanzie hapa kwenye nyota,Mtaji na nyota ndio kila kitu.
Kwa taarifa yako mie nilikua kipanga nisieshikika darasani lakini baada ya kujua najidanganya hapohapo niliacha shule. Mtu unapata A kila siku za physics maths etc... lakini mtoto chokoraa wa kitaa anakuzidi kutroubleshoot faults ndogo ndogo za umeme kwenye majumba na vifaa vya nyumbani, sasa huko si ni kujidanganya.Wakuu!
Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa.
Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa.
Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi kiakili darasani basi jua kimtaa hutanizidi, na hilo nimelimudu.
Masomo ni magumu kuliko mtaa. Mitihani ya darasani ni migumu kuliko ya kitaa.
Kitaa wajinga wapo wengi ni uwezo wako kuwatumia. Kitaa fursa zipo nyingi ni uwezo wako kuzitumia. Unashindwaje kwa mfano?
Darasani waalimu walikuwa wachache na vitabu vilikuwa vichache lakini bado watu tulinyoosha misonge na kuweka vijiti, NECTA wanatujua, TCU wanatujua, na mtaani wanatujua.
Hakuna kazi rahisi kama kupata pesa kwenye jamii masikini na watu wajinga. Ila hakuna kazi ngumu kama kupata elimu kwenye jamii masikini na watu wajinga.
Kwa taarifa yako mie nilikua kipanga nisieshikika darasani lakini baada ya kujua najidanganya hapohapo niliacha shule. Mtu unapata A kila siku za physics maths etc... lakini mtoto chokoraa wa kitaa anakuzidi kutroubleshoot faults ndogo ndogo za umeme kwenye majumba na vifaa vya nyumbani, sasa huko si ni kujidanganya.
Usifananishe kitaa na mambo ya kipuuzi, huwa najuta hata kwa nini nlichelewa kuacha shule coz bora ningeishia la nne tu.
Ila bora umetanguliza neno "kwa uzoefu wako" so naheshimu maoni yako ila kumbuka kuna upande wa pili ulio sahihi zaidi.
Lakini point yako bado haina mashiko wasomi wengi hawako tayari kuanza walipo, wanataka spoon feed pia wasomi ni watu wa kulalamika.
In typical enterpreneurship moja ya sifa ya kustart up ni kuamua kuanza kirahisi ulipo, Easy of implement wanaita hivo lakini msomi anataka analysis japo sio vibaya hana sifa ya easy of implement.
Kuna mabonde msomi havuki ila mtu from street anamanage kabisa.
Hii mada yako imekaa kinadharia mkuu not ideal practical at any percent. Yaan mada umeandika kama debate kati ya vipanga Vs vilaza lakin at the end your topic concern is literally undebatable kwa ishu za maboss from the street.
We unasema kwamba wasomi wako smart ni sahihi lakini hawako tayari kustart yaani wasomi ni time loser tu kama vilaza wa kitaa.
Mimi hapo nakuunga mkono sijakataa kwambu skuli sio pagumu maana lile ni gereza huru tu nadhani umenielewa navosema gereza huru, kitaa siku zote ni afadhali kuliko shule.Shule ni ngumu mkuu kuliko mtaani.
Kitaa nadharia ni 10% practical 90
Shule nadharia 90% Practical 10%
Mimi nilitaka nimalize shuleni ili nifanye mambo yangu, sio kusoma ya wenzangu
Shule ina ugumu gani wewe mtu? Maana wanaofaulu mitihani ya shule ni wengi kuliko wanaofeli ..wanaofeli mitihani ya maisha mtaani ni wengi kuliko wanaofaulu..Mimi sijaacha na kitaa naburuza.
Nikikushinda shule ujue mtaani hutoniweza.
Mambo mengi ya shule sio halisi ndio maana ni magumu lakini kitaa mambo ni rahisi, unajionea kwa macho na kufanya kwa vitendo.
Kiujumla shule ni ngumu kuliko kitaa tuliosoma tunalijua hili.
Mtaani hakuna cha kengele, hakuna cha sare, hakuna cha kanuni, sasa unashindwaje?
Unajutia kusoma aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa taarifa yako mie nilikua kipanga nisieshikika darasani lakini baada ya kujua najidanganya hapohapo niliacha shule. Mtu unapata A kila siku za physics maths etc... lakini mtoto chokoraa wa kitaa anakuzidi kutroubleshoot faults ndogo ndogo za umeme kwenye majumba na vifaa vya nyumbani, sasa huko si ni kujidanganya.
Usifananishe kitaa na mambo ya kipuuzi, huwa najuta hata kwa nini nlichelewa kuacha shule coz bora ningeishia la nne tu.
Ila bora umetanguliza neno "kwa uzoefu wako" so naheshimu maoni yako ila kumbuka kuna upande wa pili ulio sahihi zaidi.