Shule ni ngumu kuliko mtaa

Shule ni ngumu kuliko mtaa

Mtaji na nyota ndio kila kitu.
Ok mkuu tuanzie hapa kwenye nyota,

Nyota huwa inakuwa vipi?
Na jee? Kuna uhusiano gani kati ya nyota + mafanikio?

Mara nyingi huwa nasikia watu wakiwaambia wenzao flani kafanikiwa au kapata cheo kwa sabbu ya nyota.how???
nina imani elimu yako itatufungua wengi mmu.
 
Ngoja umalize chuo ndio utajua ukweli ni upi, mtaa bila hela unaamka huna pa kwenda, bora shule utaenda darasani
 
Wakuu!

Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa.

Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa.

Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi kiakili darasani basi jua kimtaa hutanizidi, na hilo nimelimudu.

Masomo ni magumu kuliko mtaa. Mitihani ya darasani ni migumu kuliko ya kitaa.

Kitaa wajinga wapo wengi ni uwezo wako kuwatumia. Kitaa fursa zipo nyingi ni uwezo wako kuzitumia. Unashindwaje kwa mfano?

Darasani waalimu walikuwa wachache na vitabu vilikuwa vichache lakini bado watu tulinyoosha misonge na kuweka vijiti, NECTA wanatujua, TCU wanatujua, na mtaani wanatujua.

Hakuna kazi rahisi kama kupata pesa kwenye jamii masikini na watu wajinga. Ila hakuna kazi ngumu kama kupata elimu kwenye jamii masikini na watu wajinga.
Kwa taarifa yako mie nilikua kipanga nisieshikika darasani lakini baada ya kujua najidanganya hapohapo niliacha shule. Mtu unapata A kila siku za physics maths etc... lakini mtoto chokoraa wa kitaa anakuzidi kutroubleshoot faults ndogo ndogo za umeme kwenye majumba na vifaa vya nyumbani, sasa huko si ni kujidanganya.

Usifananishe kitaa na mambo ya kipuuzi, huwa najuta hata kwa nini nlichelewa kuacha shule coz bora ningeishia la nne tu.

Ila bora umetanguliza neno "kwa uzoefu wako" so naheshimu maoni yako ila kumbuka kuna upande wa pili ulio sahihi zaidi.
 
Lakini point yako bado haina mashiko wasomi wengi hawako tayari kuanza walipo, wanataka spoon feed pia wasomi ni watu wa kulalamika.

In typical enterpreneurship moja ya sifa ya kustart up ni kuamua kuanza kirahisi ulipo, Easy of implement wanaita hivo lakini msomi anataka analysis japo sio vibaya hana sifa ya easy of implement.

Kuna mabonde msomi havuki ila mtu from street anamanage kabisa.

Hii mada yako imekaa kinadharia mkuu not ideal practical at any percent. Yaan mada umeandika kama debate kati ya vipanga Vs vilaza lakin at the end your topic concern is literally undebatable kwa ishu za maboss from the street.

We unasema kwamba wasomi wako smart ni sahihi lakini hawako tayari kustart yaani wasomi ni time loser tu kama vilaza wa kitaa.
 
Mimi sijaacha na kitaa naburuza.

Nikikushinda shule ujue mtaani hutoniweza.

Mambo mengi ya shule sio halisi ndio maana ni magumu lakini kitaa mambo ni rahisi, unajionea kwa macho na kufanya kwa vitendo.

Kiujumla shule ni ngumu kuliko kitaa tuliosoma tunalijua hili.

Mtaani hakuna cha kengele, hakuna cha sare, hakuna cha kanuni, sasa unashindwaje?
 
Shule ni ngumu mkuu kuliko mtaani.

Kitaa nadharia ni 10% practical 90
Shule nadharia 90% Practical 10%

Mimi nilitaka nimalize shuleni ili nifanye mambo yangu, sio kusoma ya wenzangu
 
Ngoja umalize chuo ndio utajua ukweli ni upi, mtaa bila hela unaamka huna pa kwenda, bora shule utaenda darasani

Nimemaliza shule miaka 10 iliyopita, ninafamilia na watoto.

Shule ni ngumu budah kitaa kwepesi kama unanawa
 
Shule ni ngumu mkuu kuliko mtaani.

Kitaa nadharia ni 10% practical 90
Shule nadharia 90% Practical 10%

Mimi nilitaka nimalize shuleni ili nifanye mambo yangu, sio kusoma ya wenzangu
Mimi hapo nakuunga mkono sijakataa kwambu skuli sio pagumu maana lile ni gereza huru tu nadhani umenielewa navosema gereza huru, kitaa siku zote ni afadhali kuliko shule.

Mi nilisema wasomi sio kwamba wako strictly kitaa kwenye kuzisanya faranga kama wakulungwaa wa darasa la sabaa.
Maana start up ya wasomi ni hard kubegin nikimaanisha mwanzo wao ni mgumu ila wakianzaga wanafika mbali kuliko wa la saba. So think about that?
 
Mimi sijaacha na kitaa naburuza.

Nikikushinda shule ujue mtaani hutoniweza.

Mambo mengi ya shule sio halisi ndio maana ni magumu lakini kitaa mambo ni rahisi, unajionea kwa macho na kufanya kwa vitendo.

Kiujumla shule ni ngumu kuliko kitaa tuliosoma tunalijua hili.

Mtaani hakuna cha kengele, hakuna cha sare, hakuna cha kanuni, sasa unashindwaje?
Shule ina ugumu gani wewe mtu? Maana wanaofaulu mitihani ya shule ni wengi kuliko wanaofeli ..wanaofeli mitihani ya maisha mtaani ni wengi kuliko wanaofaulu..

Sasa shule inakuwaje ngumu?? Huo ugumu wa shule umekuletea mafanikio gani mtaani? Wee sema tu labda una hari ya kutafuta ..huku mtaani wenye A wameajiriwa na wenye C na D..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako mie nilikua kipanga nisieshikika darasani lakini baada ya kujua najidanganya hapohapo niliacha shule. Mtu unapata A kila siku za physics maths etc... lakini mtoto chokoraa wa kitaa anakuzidi kutroubleshoot faults ndogo ndogo za umeme kwenye majumba na vifaa vya nyumbani, sasa huko si ni kujidanganya.

Usifananishe kitaa na mambo ya kipuuzi, huwa najuta hata kwa nini nlichelewa kuacha shule coz bora ningeishia la nne tu.

Ila bora umetanguliza neno "kwa uzoefu wako" so naheshimu maoni yako ila kumbuka kuna upande wa pili ulio sahihi zaidi.
Unajutia kusoma aisee [emoji23][emoji23][emoji23]

Una shida mkuu

Upo one step kuliko wao ni perceptions zako tu zinakuponza kuwa creative think beyond

See what they don't see
 
Back
Top Bottom