Shule ya Mivumoni Islamic iliyoko Kinondoni yateketea kwa moto ikiwa ni mara ya tatu sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mivumoni Islamic school iliyopo kwenye msikiti wa mtambani Kinondoni imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo 31/08/2020.

Hii ni mara ya tatu ndani ya miezi miwili Shule hiyo kuungua.

Source East Africa radio

Maendeleo hayana vyama!
 
Majini yamepigana hapo usiku kucha, Hadi moja likafa na kusababisha mlipuko mkubwa uliopelekea shule kuteketea kwa moto .
Majini Ni viumbe tu Kama ng'ombe, nao Wana hisia za hasira, furaha etc
Wazee wa al-badir wanasema yameumbwa kwa moto
 
Mivumoni Islamic school iliyopo kwenye msikiti wa mtambani Kinondoni imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo 31/08/2020.

Hii ni mara ya tatu ndani ya miezi miwili Shule hiyo kuungua.

Source East Africa radio

Maendeleo hayana vyama!
Itakua majini tu
 
mkuu hivi hii shule ndo ilikuwa ikiitwa Kinondoni muslim au hii ni nyingine
 
Back
Top Bottom