DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
"Nilichogundua Darasa la pili Watoto karibia wote wamekaa chini na wapo zaidi ya 600 nilipoingia darasani kwao madawati hayafiki hata 10.”
 
V8 moja sh ngap? Allowance ya mafuta sh ngap? Posho ya huyo mbunge wa eneo husika sh ngap? Ni kumshurutisha tu huyo mbunge wa apo mana anajidhalilisha kama haombei bajet bungen huko atajijua
 
Back
Top Bottom