A
Anonymous
Guest
Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya Mission Kitunda kwa madai kuwa wanafuata mfumo wa mtaala wa miaka 10 ya elimu ya lazima.
Swali langu ni, je, hatua hiyo ni sahihi? Wazazi hawakushirikishwa wala kupewa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo, huku Wizara ya Elimu ikiwa ipo.
Je, utaratibu huu unaruhusiwa kisheria na kielimu?
Swali langu ni, je, hatua hiyo ni sahihi? Wazazi hawakushirikishwa wala kupewa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo, huku Wizara ya Elimu ikiwa ipo.
Je, utaratibu huu unaruhusiwa kisheria na kielimu?