Shule ya Msingi Mitambo, Mkoa wa Mtwara

Shule ya Msingi Mitambo, Mkoa wa Mtwara

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1611658648418.png

1611800955118.png

Hawa ni watoto wanaotegemewa kufaulu kwa alama za juu. Hii ndiyo nguvu kazi ya siku zijazo.
 
100M
Slow down your motion Men's at work.[emoji708][emoji729][emoji730][emoji590]
 
Hizo shule aina hizo ziko nyingi mbona
Kwa afrika ni ngumu kumaliza matatizo?
SIJUI UMENIELEWA?

Ova
 
Hivi watoto wanaosoma kwenye shule kama hii, Wazazi wao nao huwa wanapiga kura kumchagua Diwani, Mbunge na Rais??? Napata picha kwanini Mgombea fulani hakwenda kupiga kampeni kwenye baadhi ya Mikoa. Na angekuja tulikuwa tumeuandaa uwanja wa shule hiyo kufanyia mkutano wake wa kampeni.
 
CCM huwa hawachaguliwi ila ni waporaji wa ushindi.
 
View attachment 1686628
Hawa ni watoto wanaotegemewa kufaulu kwa alama za juu. Hii ndiyo nguvu kazi ya
Waje tuwapandishe ndege zetu nane, tuwazungushe angani kisha tuwarudishe darasani, itawaamsha ari ya kusoma kwa bidii na kuwa marubani na mafundi wa ndege.
Wengine tutawapeleka Chato wakaone uzinduzi wa msitu.
Happy lazima tutapata ma botanist wa kutosha
 
Back
Top Bottom