Shule ya msingi Ngingana ina wanafunzi 400 na walimu wawili

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.

Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe katika shule hiyo.

Chanzo: ITV
 
Mhe. Rais angepunguza masurufu ya msururu wa anaosafiri nao nje na pesa kutumika kwenye kuboresha elimu hususani maslahi ya waalimu kwa kuajiri na kuboresha miundombinu ya elimu.

Washauri wake wanajitahidi kumhadaa lakini haya mambo yanayojiri huku chini ajitahidi sana kuyamulika kwa utimamu wake
 
Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.

Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe katika shule hiyo.

Chanzo: ITV
ITV bahna 😂 😂 😂 😂
 
Ila mwalimu wa mathe alivyo mnaa haachi kuingia darasan anafundisha shule nzima dakika moja kabla ya kipindi chake kuanza unamuona mlangoni
 
Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.

Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe katika shule hiyo.

Chanzo: ITV
Cc Lucas Mwashambwa
 
Yaan haya mambo ya shule kuwa na walimu wawili na zahanati kuwa na mtumishi mmoja tena nesi yaan huwa siamin amini mpaka siku nitakapoona
 
Back
Top Bottom