Mhe. Rais angepunguza masurufu ya msururu wa anaosafiri nao nje na pesa kutumika kwenye kuboresha elimu hususani maslahi ya waalimu kwa kuajiri na kuboresha miundombinu ya elimu.Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.
Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe katika shule hiyo.
Chanzo: ITV
ITV bahna π π π πShule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.
Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe katika shule hiyo.
Chanzo: ITV
Cc Lucas MwashambwaShule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.
Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe katika shule hiyo.
Chanzo: ITV
Mtaalam haya yapo sanaπ€£π€£π€£π€£πͺπΊYaan haya mambo ya shule kuwa na walimu wawili na zahanati kuwa na mtumishi mmoja tena nesi yaan huwa siamin amini mpaka siku nitakapoona
Uamini, tembea uone!!Yaan haya mambo ya shule kuwa na walimu wawili na zahanati kuwa na mtumishi mmoja tena nesi yaan huwa siamin amini mpaka siku nitakapoona