DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

DVT

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
69
Reaction score
33
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl X akamjibu USINISUMBUE.

Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.

Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.

Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
 
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.

Wewe ni mzazi mpumbavu kumweka mtoto wa grade 4 boarding. Unamkatili mtoto wako.
Cc LIKUD
 
Yaani mtu anakupangia kumpeleka mwanao boarding eti mtihani WA darasa la nne?
Mtihani WA darasa la nne unamsaidia nini sasa?
Me hao walimu wapuuzi WA kusema mwanangu alale shule la nne nikutane nao waone
Wazazi WA dar tuseme kweli sijui ni ushamba au ulimbukeni sijui.
Kwanini wanalazimisha watoto kulala shule? Hayo si ni maamuzi binafsi ya wazazi?
 
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.

Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.

Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.

Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Mpumbavu wa mwisho wewe! Mtoto wa Grade 4 unampeleka boarding ukasaidiwe kulea? Ona sasa wanamchanganya na secondary na kumpiga juu..

Mtoto kuanzia darasa la 1 hadi 6 anatakiwa kwenda day school ili awe chini ya usimamizi wa wazazi.
Malezi ya mtoto kwa maana ya makuzi ni wajibj wa Mzazi mwenyewe na sio
 
Yaani mtu anakupangia kumpeleka mwanao boarding eti mtihani WA darasa la nne?
Mtihani WA darasa la nne unamsaidia nini sasa?
Me hao walimu wapuuzi WA kusema mwanangu alale shule la nne nikutane nao waone
Wazazi WA dar tuseme kweli sijui ni ushamba au ulimbukeni sijui.
Kwanini wanalazimisha watoto kulala shule? Hayo si ni maamuzi binafsi ya wazazi?

Nakaa Jiran na hii Shule.

Alaf walivyo wajanja,
Hawakulazimishi ila wanakupa hiyo ratiba ya mwanafunzi na pia wanakuambia wanafunzi wa darasa la nne na la saba hawachukuliwi na school bus, utafute utaratibu wa usafiri wa mtoto wako mwenyewe. (Means umuwaishe hiyo saa 12 na nusu asubuh na uje umchukue saa 11 jion).

Ada boarding ni 3.7 Mill na Day ni 2.8 Mill kwa mwaka.
Sasa utaamua mwenyewe.

Shule hizi za Private zinatutesa kweli wazazi...
 
Mpumbavu wa mwisho wewe! Mtoto wa Grade 4 unampeleka boarding ukasaidiwe kulea? Ona sasa wanamchanganya na secondary na kumpiga juu..

Mtoto kuanzia darasa la 1 hadi 6 anatakiwa kwenda day school ili awe chini ya usimamizi wa wazazi.
Malezi ya mtoto kwa maana ya makuzi ni wajibj wa Mzazi mwenyewe na sio
Hadi std 7 lazima atokee nyumbani mkuu
 
Nakaa Jiran na hii Shule.

Alaf walivyo wajanja,
Hawakulazimishi ila wanakupa hiyo ratiba ya mwanafunzi na pia wanakuambia wanafunzi wa darasa la nne na la saba hawachukuliwi na school bus, utafute utaratibu wa usafiri wa mtoto wako mwenyewe. (Means umuwaishe hiyo saa 12 na nusu asubuh na uje umchukue saa 11 jion).

Ada boarding ni 3.7 Mill na Day ni 2.8 Mill kwa mwaka.
Sasa utaamua mwenyewe.

Shule hizi za Private zinatutesa kweli wazazi...
Ndo kulazimisha huko
Kuna jamaa mmoja kauzu huyo yeye aligoma kabisa
Darasa zima mwanao Tu ndo hakwenda boarding
Alimtafutia boda kuendana na ratiba zao hizo za kipuuzi
 
Grade 4 boarding school? Ni ubize wa wazazi ama kulea hamuwezi ? Mzazi anaejielewa, mwanae walau anaanza kulala shule akiwa secondary,,, tena kwa uangalizi mkubwa sana, ikiwezekana aanze akiwa form 3 na kuendelea,,,, ! Huko shulen wanajifunza ujinga mwingi sana, wewe mzazi ukishalipa ada unajua umemaliza,,, ! Mtoto anakuwa shoga unamlilia Mungu hii laana imetoka wapi kumbe ni uzembe wa wazazi

Wewe ni mpumbavu na hujielewi
 
Nakaa Jiran na hii Shule.

Alaf walivyo wajanja,
Hawakulazimishi ila wanakupa hiyo ratiba ya mwanafunzi na pia wanakuambia wanafunzi wa darasa la nne na la saba hawachukuliwi na school bus, utafute utaratibu wa usafiri wa mtoto wako mwenyewe. (Means umuwaishe hiyo saa 12 na nusu asubuh na uje umchukue saa 11 jion).

Ada boarding ni 3.7 Mill na Day ni 2.8 Mill kwa mwaka.
Sasa utaamua mwenyewe.

Shule hizi za Private zinatutesa kweli wazazi...
Hiyo ndio elimu bora mnayotaka wazazi?.
 
Grade 4 boarding school? Ni ubize wa wazazi ama kulea hamuwezi ? Mzazi anaejielewa, mwanae walau anaanza kulala shule akiwa secondary,,, tena kwa uangalizi mkubwa sana, ikiwezekana aanze akiwa form 3 na kuendelea,,,, ! Huko shulen wanajifunza ujinga mwingi sana, wewe mzazi ukishalipa ada unajua umemaliza,,, ! Mtoto anakuwa shoga unamlilia Mungu hii laana imetoka wapi kumbe ni uzembe wa wazazi
Eti afaulu mtihani WA darasa la nne shule iongoze kitaifa.
Huo ungese sifanyi kwa kweli.tena ukute ni mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom