Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Shule wao wanafanya biashara.maamuzi ya watoto ni ya wazaziNi bora ikashambuliwa shule ..mzaz tunamuonea tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule wao wanafanya biashara.maamuzi ya watoto ni ya wazaziNi bora ikashambuliwa shule ..mzaz tunamuonea tu...
Chukua polisi kamata huyo mwalimu,tia rock up.Wenzake watamfuata huko muwekane sawaMtoto kashakosewa tafuten namna ya kumsaidia mzazi apate haki...We mzazi hiyo shule mtoto atakuja umepelekewa moto bure...
Mhamishe!Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.
Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.
Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.
Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Mtoto anapitia unyanyasaji na kutokuoga wiki 2 na joto lote hili la dar! Mzazi amekaa nyumbani anajua mtoto anasoma, hii ni huzuni kuu! Enyi wazazi mnaosomesha watoto kwenye hivi vi English medium, mtapelekeshwa na hao wamiliki wa hivyo vishule mpk lini? Kwa nn mmekuwa kama misukule kila kitu nyie ni kuitikia na kutekeleza bila kuhoji? ACHENI UNDEZI.! MNATESA WATOTO BILA SABABU ZA MSINGI...KWA ELIMU GANI SASA HAPO? HIYO GRADE 4 NDIO YA KUTESA WATOTO HIVYO?Kabisa mkuu. Huyu mzazi ni katili na anakimbia majukumu ya kumlea mtoto ktk umei ambao anatakiwa kuwa beneti na mzazi. Std4??? Huyo mtoto anatakiwa awe anatokea nyumbani kwa level hiyo.
Mzazi ameomba ushauri wa kisheria, ila anachokutana nacho ni matusi tu na vichambo! Inastaajabisha sana.Mnamshambulia tu mzazi...!
Wait....mtoto wa grade 4 unamuweka boarding?Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.
Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.
Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.
Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Ila unajishangaza unavyolaumu shule, kwani ulifungwa kamba kupeleka mtoto boarding? Grade 4 unapeleka boarding? Huoni unamfanyia mtoto ukatili na kukwepa wajibu wako wa kumlea huyo mtoto?Mtoto anapitia unyanyasaji na kutokuoga wiki 2 na joto lote hili la dar! Mzazi amekaa nyumbani anajua mtoto anasoma, hii ni huzuni kuu! Enyi wazazi mnaosomesha watoto kwenye hivi vi English medium, mtapelekeshwa na hao wamiliki wa hivyo vishule mpk lini? Kwa nn mmekuwa kama misukule kila kitu nyie ni kuitikia na kutekeleza bila kuhoji? ACHENI UNDEZI.! MNATESA WATOTO BILA SABABU ZA MSINGI...KWA ELIMU GANI SASA HAPO? HIYO GRADE 4 NDIO YA KUTESA WATOTO HIVYO?
Acha ashambuliwe tu hakuna namna. unaanzaje kumpeleka mtoto wa darasa la 4 boarding, huko ni kutokuwajibika kwa hali ya juuMnamshambulia tu mzazi...!
Wewe upo kama mimi, tena ikiwezekana hata 5 na six atatokea nyumbaniNi ujinga wa hali ya juu,,, mwanangu atakaa boarding 5 na 6, tena kwa uangalizi mkubwa sana
LastanzaNi upuuzi mno mtoto mdogo hivyo kukaa boarding, hiyo shule iko Goba sehemu gani
Yaaani amenishangazaWewe ni mzazi mpumbavu kumweka mtoto wa grade 4 boarding. Unamkatili mtoto wako.
Cc LIKUD
Wazazi WA dar ni viazi mno.hivi mikoani kuna hizi Sheria?Shida Iko kwa hawa wamiliki wa hivyo vishule, wamejitungia sheria zao wenyewe za kulazimisha watoto walio ktk madarasa ya mitihani kukaa boarding ilhali miundombinu yao ni hafifu na mibovu kuweza kuaccomodate hao watoto! Wazazi pia bila kutafakari athari wanazozipata watoto wanaitikia na kufuata kama misukule!
Toka la Kwanza alijua kabisa hyo shule ina huo utaratibuYaaani amenishangaza
Shule zimejaa kibao unaenda mtesa mtoto
Kama hiyo shule inalazima darasa la nne kukaa shule
Mtoto wako mtoe hapo upesi