DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na haya mamitihani ya hovyo wayafute , sidhani kama mtihani wa darasa la nne una maana yoyote. Halafu wizara ipige marufuko boarding kwa primary school, na watoto waingie darasani saa mbili na kutoka iwe mwisho saa tisa.

Hiyo mitihani imeshafutwa. Wazazi wengi hawajui hata sera ya elimu inakwendaje ?
 
Wizara ilikataza
Ila hizi shule nyingi zina mambo hayo

Mimi kuna ujinga mmoja niliuona
Niliamuamisha mwanangu ndani ya muda mchache sana
Sikusubiri kupata stor yoyote ile

Wakanipigia simu kwanin unamuamisha mtoto
Nikawaambia ujinga niliouona
Wakaniambia kwa ukanda huu shule yetu ndo nzuri blah blah nyingi

Nikawaambia akisoma hapo akimaliza moja kwa moja anakua Rais wa nchi??

Nikamwambia mainiletee huo ujinga mimi wa kunyanyasa watoto

Usivumilie ujinga kisa matokeo mazuri
Kuna ma T.O sasa hivi wanafundisha tution huko
Mtoto wako usiforce afaulu kwa cost ya afya yake na utimamu wake wa akili
Utapoteza vyote
Nimeshangaa mambo ya mtihani WA darasa la nne 2025 wakati wizara ilikataza .ila sishangai maana hii nchi matamko ni mengi utekelezaji sifuri...
Ila mashule sio ya kulaumu shida ni kwa wazazi .inakuaje watu wakuamulie maisha ya familia yako?
Kwa mtihani gani Kwanza? Kweli mtihani WA darasa la nne ni issue hivi kwa wazazi WA dar?
 
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.

Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.

Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.

Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Huyo mtoto ukimuacha hapo nitakudharau sana. Mtoe mtoto mtafutie shule nyingine nzuri.

Watoto wanachohitaji ni upendo wa wazazi na kujifunza katika mazingira salama. Kumuacha mtoto na wahuni ni kumwambia unamchukia.
 
Imagine mzazi analipishwa ada milioni 3.

Mzazi huyo ni mteja wa hiyo shule anaepeleka faida ya mamilioni ya hela kwenye shule. Lakini mwanae anateseka hapo shuleni ila mzazi anakuja kulia lia na kuomba msaada jamiiforums

Huyu mzazi ni mteja bwege ambaye hajui maana ya Value for money. Na hajui maana ya Customer is king.

Soma mwenyewe maelezo yake kwenye screenshot ujue wateja mabwege wakoje

Screenshot_20250309-163607.png
 
View attachment 3264517
Mtaje jina ili usionekane na ww bwege.

Anyway, hao wamiliki wasipowapiga hao wazazi unategemea wataishi vp, hvy mm naona sawa tuu hao mabwege kunyooshwa pamoja na hao watoto wao.
 
Imagine mzazi analipishwa ada milioni 3.

Mzazi huyo ni mteja wa hiyo shule anaepeleka faida ya mamilioni ya hela kwenye shule. Lakini mwanae anateseka hapo shuleni ila mzazi anakuja kulia lia na kuomba msaada jamiiforums

Huyu mzazi ni mteja bwege ambaye hajui maana ya Value for money. Na hajui maana ya Customer is king.

Soma mwenyewe maelezo yake kwenye screenshot ujue wateja mabwege wakoje

View attachment 3264517
Mzazi amezingua sana aisee. Hata kama hawezi kupigana na hao walimu basi at least awashtaki kwenye mahakama amuondoe mtoto wake shule na apate fidia ya madhila aliyopata. Sio kulia lia mitandaoni
 
Mzazi mwenzangu pole karipoti polisi utajua pa kuanzia,, na mwanao mtoe hapo na aende shule akitokea nyumbani!!! Hata kama uko bize naaamini utabalance muda uweze kuendana na mwanao na ratiba ya shule.
 
Pole sana Mzazi.
Kwa huo msaada wa kisheria ingefaa kuonana na mwanasheria ili ku-assess kwanza nini haswa kilitokea na uhusika wa shule au Mwalimu wa shule hiyo upoje. Then hatua muafaka zinaweza kufuata. (If at all it's necessary).
 
Si mko busy, acha msaidiwe kulea.

Chanzo cha hayo yote ni wazazi wenyewe, hata msizilaumu shule. Utaratibu wowote ulio nje ya uataratibu wa kawaida ni lazima yawe makubaliano baina ya shule na wazazi. Sasa kama mmekubaliana na hilo, wala msilalamike.
 
Jinga sana hili limzazi, na mijinga mizazi yte ya hiyo shule mpka mitoto yenu isukumwe tope mbwa nyie.
 
Mpumbavu wa mwisho wewe! Mtoto wa Grade 4 unampeleka boarding ukasaidiwe kulea? Ona sasa wanamchanganya na secondary na kumpiga juu..

Mtoto kuanzia darasa la 1 hadi 6 anatakiwa kwenda day school ili awe chini ya usimamizi wa wazazi.
Malezi ya mtoto kwa maana ya makuzi ni wajibj wa Mzazi mwenyewe na sio
NAKAZIA
 
Back
Top Bottom