DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hili jambo limenikwaza sana maana mwanangu yuko grade 4 na tayari nimeshaskia fununu kuna utaratibu wa shule kulazimisha watoto wakae boarding kipindi cha likizo...najiandaa kupambana nao vikali.
Usikubali asilani abadani

Yaani bora umuamishe huyo mtoto
Nilikua mwalimu

Mwanao atapata tabia ambazo ulikua unasomaga nyuzi tu hapa jf unasikitika
 
Mm nadhan tusiwalaumu wazazi wanaopeleka Watoto Boarding wakiwa wadogo.

Pengine ni hiyo ratiba ndio imechangia maamuzi ya hao wazazi.
Kama watu wengine watakupangia maisha ya mtoto wako basi huyo mtoto hayuko salama

Darasa la nne ilishakatazwa hadi na serikal wasilazimishwe kukaa boarding
Hao watoto ni wadogo sanaaa

Hizi shule zinachangia sana ushenzi
 
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.

Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.

Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.

Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Hamisha mtoto haraka shule nyingi unalialia nini? Mbona ukienda sokoni unachagua mchele unaoutaka na hupigi makelele kuwa kuna watu wanauza mchele mbovu.
 
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.

Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.

Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.

Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Nyie ni wazazi wajinga kabisa mnashindwa kuwalinda watoto wenu. Mwanao anasoma shule kama hiyo bila wewe kujua kinachoendelea? Nani alimpeleka hiyo shule? Ukishampeleka mwanao shule hufuatilii kwa undani uone maisha yake? Huu ni uzembe wa hali ya juu sana. Kuna mzazi alihamisha mtoto wake hapo kwa sababu wanapiga watoto kama punda na wanasema wanajivunia kupiga watoto ili wawe na adabu eti wazazi ndiyo wamewaruhusu. Shauri yenu.
 
Pole sana ndugu. Ila na sisi wazazi tumezidi yaani mtoto wa primary unampeleka boarding yaani miezi mitatu hujui mtoto anakula nini anaendeleaje maana hao watoto wanatishwa sana wasiseme mambo ya shule. Najua saivi utakuwa tumejifunza kitu.
Jua hakuna mtu duniani anayeweza kumpenda mtoto wako kuliko wewe.
Kwa sisi tulio Soma boarding school za secondary nikiona mtu anampeleka mtoto mdogo primary boarding naona mzazi ni msaliti wa mwanae.
Mi naonaga ni mkatili mzazi anaepeleka mtoto boarding
Tena wa msingi

Secondary tu niliona kama ni branch of hell
Iwe msingi??
 
Nimesoma shule za bording lakin sio primary kuanzia form 1 had 6 aiseeeee mwanangu hakanyag bweni yaan hata mtihan uwe wa kimataifa hakanyag bweni sio Kwa upuuz ule niliouona atasota home mpka afike chuo ndo ataenda kukaa huko ila sio kwa Sasa
Mzaz mmezaa Ili shule iwalele watoto?? Kisa kusoma shule ipate daraja. Bora? Mtoto wa darasa la nne akii huna haja ya kuja kutulalamikia vuna ulichopanda
 
Kama watu wengine watakupangia maisha ya mtoto wako basi huyo mtoto hayuko salama

Darasa la nne ilishakatazwa hadi na serikal wasilazimishwe kukaa boarding
Hao watoto ni wadogo sanaaa

Hizi shule zinachangia sana ushenzi
Watu ni wajinga kupitiliza. Mtoto wako usimpomlea nani atakusadia? Dunia ya leo imejaa watu-wanyama halafu mtoto mdogo unakwenda kumlaza shule.
 
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.

Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.

Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.

Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.

Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Ila wazazi muda mwingine mjitathimin yaañi ada unatoa wewe tena gharama kubwa sana then shule inaamua kufanya inavyojisikia bila kuomba maoni yenu wazszi how..
Mtoe mtoto haponpeleka shule nyingine ambayo unaamini utakuwa na amani nayo na mtoto atafurahia kusoma pia.

Nowadays elimu sio adhabu elimu ni entertainment..
 
Toka la Kwanza alijua kabisa hyo shule ina huo utaratibu
Shule za dar nyingi zina huo utopolo
Wizara ilikataza
Ila hizi shule nyingi zina mambo hayo

Mimi kuna ujinga mmoja niliuona
Niliamuamisha mwanangu ndani ya muda mchache sana
Sikusubiri kupata stor yoyote ile

Wakanipigia simu kwanin unamuamisha mtoto
Nikawaambia ujinga niliouona
Wakaniambia kwa ukanda huu shule yetu ndo nzuri blah blah nyingi

Nikawaambia akisoma hapo akimaliza moja kwa moja anakua Rais wa nchi??

Nikamwambia mainiletee huo ujinga mimi wa kunyanyasa watoto

Usivumilie ujinga kisa matokeo mazuri
Kuna ma T.O sasa hivi wanafundisha tution huko
Mtoto wako usiforce afaulu kwa cost ya afya yake na utimamu wake wa akili
Utapoteza vyote
 
Watu ni wajinga kupitiliza. Mtoto wako usimpomlea nani atakusadia? Dunia ya leo imejaa watu-wanyama halafu mtoto mdogo unakwenda kumlaza shule.
Yaani sipati hata picha
Mimi nilikua mwalimu for 10 yrs
Secondary tu watoto wanalazimiswa na wakubwa kuingiliwa

Kuna shule flani ipo tabata karibu na tusiime inaitwa africans
Ina shule ya secondary na msingi

Ina boarding la kwanza hadi la saba wanamixiwa(hili nilicomferm) nilifanya tempo pale kwa muda mchache
Na kuna muingiliano wa secondary na hao msingi

Kulikua kuna huo mchezo wa hao la kwanza kuingiliwa mara kwa mara
Tatizo lilikua kubwa sana
Issue imekuja kugundulika wakati wa visting
Dogo mmoja alikua ananuka ndo mama kuuliza ndo dogo anafunguka
Na anasema hii kitu ameikuta na ni kwa muda mrefu sanaa

Ilikuja kugundulika tooo late
Hiyo inaonesha nini
Hakuna mtu wa kumuangalia mwanao kama wewe unavyomuangalia
 
Mkuu, Hayo mazingira ni hatarishi ya mwanao kuendelea kusoma....
Cha Msingi muondoe haraka hapo mtafutie Shule nyingine

Alafu ndipo utafute mamlaka husika ili ichukue HATUA, kuokoa watoto wengine .....pole sana
 
Wewe ni mzazi mpumbavu kumweka mtoto wa grade 4 boarding. Unamkatili mtoto wako.
Cc LIKUD
Huyu Mzazi ni wa hovyo kabisa, mpumbavu sana. Mtoto wa darasa la 4 boarding ya nini? Mtihani wa darasa la 4 una maana gani hata kama mwanao atashindwa?

Na asivyo na akili badala akalalamike shuleni huko anakuja kulalanika humu.

Namuonea huruma huyo mtoto, hana mzazi kabisa.
 
Kila siku nasemaga hapa msijistress kulipa hela kwenye shule za Em's private zinazo milikiwa na ngozi nyeusi. Ubongo wa mtu mweusi haujawa wired kuongoza kwa uweledi jambo lolote lile la kitaasisi.

Toeni watoto wenu shule hizo warudisheni Kayumba day.
 
Back
Top Bottom