Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Dogo korokoro Unapeleka boarding, atadundwa achakae.
Yapo matoto manunda yanayoweza kukabiliana na hali yoyote ndio ya kwenda huko, hayo yaliyoiba mswaki wa mwanao.
Ila mkuu sio salama kwa dogo kama huyo kusoma boarding, na pia angalia na ujanja au uzubavu wa mtoto mwenyewe. Watoto wengine hawajui kujichanganya na wenzao, ni wapole kupindukia, hajui kuongea vizuri wala kujitetea nk, hao wanaonewaga sana shuleni.