DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wazazi wengi malimbukeni kabisa!
 
Ndugu Mzazi, kwanini usingeanzia Ofisini kwa Walimu?
Ndugu Mzazi tutajuaje kama umetumwa kuichafua shule? Ushindani ni mkubwa now days
Ndugu mzazi waraka wa Elimu upo.
 
Kabla ya hospitali ungempitisha polisi ili tuanzie hapo . Wale watu wa ukatili na jinsia ndo kazi zao pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…