JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Shule ya Sekondari Ulongoni A iliyopo Kata ya Gongolamboto inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uzio, miundombinu chakavu kwa baadhi ya madarasa na maabara.
Imeelezwa kuwa hali hiyo inachangia utoro kwa wanafunzi wengi pindi wanapohitaji haja binafsi na nidhamu ya ufaulu kushuka.
Mkuu wa Shule, Sikitiko Saleh pia wana upungufu wa walimu wa masomo ya Sayansi, wakati Afisa Elimu Kata ya Gongolamboto, Tabitha Mathius amesema wamewasiliana na Mbunge na Diwani wao ambao wameahidi kushughulikia baadhi ya changamoto zilizopo.
Chanzo: EATV