Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

Acha kukurupuka!! Elimu bure mwisho kidato cha nne.
 
elimu bure ni ile ada ambayo ni 20k tu hizo nyingine mzazi analipa. haileti mantiki lakini ndo hvyo watanzania wameaminishwa elimu ni bure
 
Back
Top Bottom