Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Kwa jinsi taratibu za upatikanaji wa wagombea wa Ubunge wa CCM zilivyo mwaka huu, huyu dada anapewa jimbo kisha atapewa unaibu Wizara ile ya Shonza!

Mark my word!
 
Kajenga kwa kuokoteza michango kutoka kwa wadau mbali mbali mpaka Shule imekamilika.Nyie wakati anachangisha mlimtukana,leo kafanikisha ujenzi wa Shule mnaoji.Zile bilioni alizochangiwa na watu pamoja na Pierre kuchangia Madawati angezitafuna mgehoji
Joketi kamshinda hadi Jafo imagine tangu Uhuru wilaya ilikuwa na Minaki tu, ifike mahali wawe wanataftwa viongozi wabunifu ka joketi akili kubwaz
 
Jokate girls Secondary school. This sounds nicely. Anastahili kupewa heshima hii adimu.
 
Hivi kuna shule yoyote inaitwa bibi titi mohammed ? au ipo yoyote ya boys inayoitwa job lusinde ? mi nauliza tu
 
Kajenga kwa kuokoteza michango kutoka kwa wadau mbali mbali mpaka Shule imekamilika.Nyie wakati anachangisha mlimtukana,leo kafanikisha ujenzi wa Shule mnaoji.Zile bilioni alizochangiwa na watu pamoja na Pierre kuchangia Madawati angezitafuna mgehoji.Kapambana na hiyo ni legacy yake kutokana na juhudi zake.Umefika wakati ukipewa nafasi lazima ujitume kuacha legacy nyuma.
you made the point somehow
 
Hivi hii shule imejengwa kwa kodi zetu au au jokate ndyo katoa pesa?

Jk na mkapa wamejenga mamia ya shule za kata ila kibinafsi sijasikia hata moja inajina la Mkapa au JK.

Kigogo inabidi atueleze usiku wa siku ya kuweka jiwe ikulu ya chamwino alikuwa wapi.
Mtu kama wewe ukute hata shule huna wala mjini hujawahi fika kuna mtu haijui Benjamin mkapa high school? ...
 
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwako mkuu wa wilaya yetu ya Kisarawe!

Napenda juhudi zako,u bunifu wako na fighting spirit chanya juu ya wilaya yetu.

Sambamba na juhudi zako ndani ya muda mfupi kumekuwa na mabadiliko mazuri ndani ya wilaya, nakupongeza sana.
Nije kwenye kiini cha uzi wangu;

Shule yetu mpya inayotarajiwa kutoa elimu hivi karibuni IWE YA O'LEVEL YA WASICHANA WENYE UFAULU MZURI KUTOKA DARASA LA SABA.

Iwe inachukuwa japo wasichana watatu toka kila shule wilaya nzima. Hii itasaidia sana kuwawezesha watoto waliokuwa na uwezo kuendeleza taaluma zao bila ya kukumbana na changamoto za kimazingira na vishawishi.

Pia watoto wahusishwe moja kwa moja kwenye programs mbalimbali mathalani kilimo cha mboga mboga, uhifadhi wa mazingira pamoja na uzalishaji wa miche ya mazao kama minazi, maembe, mikorosho, michungwa na mipapai.

Kuwepo na mkuu wa shule mtendaji hasa atakaye simamia taaluma, nidhamu, mazingira na projects mbalimbali shuleni
Kwa uzoefu wangu ili shule iwe na ufaulu mzuri lazima watoto wanaochukuliwa kuinga hapo wawe ni vichwa tokea primary schools,walimu pia watakaofundishwa ni lazima wawe walimu wazuri sio bora walimu,na wawe motivated.Lakini ukichukua tu ili kuchukua,hiyo shule itatia aibu hapo Kisarawe,ni maoni yangu tu hayo...
 
Jafo kamuagiza mkurugenzi, Sasa Jafo kajiamulia yeye au naye kaagizwa amuagize mkurugenzi? Kama Jafo kajiamulia hayo madaraka anayo? Je Wana Kisarawe walishirikishwa? Maana Kuna majina ya kihistoria ambayo Wana Kisarawe wangependa hiyo shule iitwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo mkuu kwa hyo Jokate hastahili kwa vipi wakat ni yeye aliyefanikisha shule ijengwe?
 
View attachment 1464555

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe kuisajili shule mpya ya wasichana Kisarawe kwa jina la mkuu wa wilaya hiyo, Joketi Mwegelo.

Jokate amepokea taarifa hiyo kwa hisia na kusema hiyo ni heshima kubwa ambayo kuifikia amevumilia mengi ikiwemo baadhi ya watu kujaribu kumbeza na kumvua utu wake.

"Nilipoteuliwa wapo walibeza na wengine kujaribu kunivua utu wangu. Niliwaelewa lakini. Pwani wanasema Aso Mtu Ana Mungu. Namshukuru Mungu wangu kwa kunitetea. Mhe Waziri Jafo kamuelekeza DED kuisajili hii shule ya kihistoria Kisarawe na iitwe Jokate Mwegelo Girls Secondary School", Ameandika mkuu huyo wa wilaya aliyepata pia kuwa mshindi wa pili kwenye mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2006.
Jafo kachnganyikiwa, akiona kidoti kile anakuwa kama mbwa aliyeona chatu
 
Kwa heshima ya watu wa Pwani na historia yake pamoja na ya shule husika kukataa kwa hekima kungekupa heshima zaidi kuliko sasa

Jr[emoji769]
 
Jafo kamuagiza mkurugenzi, Sasa Jafo kajiamulia yeye au naye kaagizwa amuagize mkurugenzi? Kama Jafo kajiamulia hayo madaraka anayo? Je Wana Kisarawe walishirikishwa? Maana Kuna majina ya kihistoria ambayo Wana Kisarawe wangependa hiyo shule iitwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimeandika hapo juu kuwa kwa heshima ya watu wa Pwani na historia yao.. Angelikataa hilo jina kwa njia za hekima kungempa heshima zaidi kuliko sasa

Jr[emoji769]
 
Anastahili,huyu dada uzuri wake,hakulewa madaraka na kuanza ngebe,madharau,,yaani Yuko natural na Ni mchapa kazi,,wafikilie kumpa mkoa au hata wizara
 
Back
Top Bottom