Kajenga kwa kuokoteza michango kutoka kwa wadau mbali mbali mpaka Shule imekamilika.Nyie wakati anachangisha mlimtukana,leo kafanikisha ujenzi wa Shule mnaoji.Zile bilioni alizochangiwa na watu pamoja na Pierre kuchangia Madawati angezitafuna mgehoji.Kapambana na hiyo ni legacy yake kutokana na juhudi zake.
Umefika wakati ukipewa nafasi lazima ujitume kuacha legacy nyuma.Hongera Jokate hata Wilaya ingebadilishwa ipewe jina lako sawa.Toka tupate Uhuru Kisarawe Ni Wilaya za mwanzo kabisa lakini wewe Umefanikiwa kuleta maji. Wabongo vizavizabina ukichutama watasema ukisimama watasema.Jifunze kujituma na kufanya kazi kwa bidii acha Majungu.