Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Kwa jinsi taratibu za upatikanaji wa wagombea wa Ubunge wa CCM zilivyo mwaka huu, huyu dada anapewa jimbo kisha atapewa unaibu Wizara ile ya Shonza!

Mark my word!
 
Kajenga kwa kuokoteza michango kutoka kwa wadau mbali mbali mpaka Shule imekamilika.Nyie wakati anachangisha mlimtukana,leo kafanikisha ujenzi wa Shule mnaoji.Zile bilioni alizochangiwa na watu pamoja na Pierre kuchangia Madawati angezitafuna mgehoji
Joketi kamshinda hadi Jafo imagine tangu Uhuru wilaya ilikuwa na Minaki tu, ifike mahali wawe wanataftwa viongozi wabunifu ka joketi akili kubwaz
 
Jokate girls Secondary school. This sounds nicely. Anastahili kupewa heshima hii adimu.
 
Hivi kuna shule yoyote inaitwa bibi titi mohammed ? au ipo yoyote ya boys inayoitwa job lusinde ? mi nauliza tu
 
you made the point somehow
 
Mtu kama wewe ukute hata shule huna wala mjini hujawahi fika kuna mtu haijui Benjamin mkapa high school? ...
 
Kwa uzoefu wangu ili shule iwe na ufaulu mzuri lazima watoto wanaochukuliwa kuinga hapo wawe ni vichwa tokea primary schools,walimu pia watakaofundishwa ni lazima wawe walimu wazuri sio bora walimu,na wawe motivated.Lakini ukichukua tu ili kuchukua,hiyo shule itatia aibu hapo Kisarawe,ni maoni yangu tu hayo...
 
Acha hizo mkuu kwa hyo Jokate hastahili kwa vipi wakat ni yeye aliyefanikisha shule ijengwe?
 
Jafo kachnganyikiwa, akiona kidoti kile anakuwa kama mbwa aliyeona chatu
 
Kwa heshima ya watu wa Pwani na historia yake pamoja na ya shule husika kukataa kwa hekima kungekupa heshima zaidi kuliko sasa

Jr[emoji769]
 
Ndio maana nimeandika hapo juu kuwa kwa heshima ya watu wa Pwani na historia yao.. Angelikataa hilo jina kwa njia za hekima kungempa heshima zaidi kuliko sasa

Jr[emoji769]
 
Anastahili,huyu dada uzuri wake,hakulewa madaraka na kuanza ngebe,madharau,,yaani Yuko natural na Ni mchapa kazi,,wafikilie kumpa mkoa au hata wizara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…