Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Huyu ni second lady. Tyar anashule inajina lake. 1st lady yupo tu kazubaa hata hachangamkii fursa
Yani jamii forums hata uingie na Hasira vipi lazima ucheke tu, Ivi mme wa mama samia tunamuitaje mana VP angekuwa mwanaume basi mke wake angeitwa Second lady
 
Benjamin Mkapa High school ipo Uhuru kariakoo,Salma Kikwete iko Tandale,
 
Kama kweli ni mchango wake hakuna tone la pesa ya serikali basi waite jina lake
 
Joketi kamshinda hadi Jafo imagine tangu Uhuru wilaya ilikuwa na Minaki tu, ifike mahali wawe wanataftwa viongozi wabunifu ka joketi akili kubwaz
kweli kabisa, aangalie na kilimo kipo chini sana ingawa wana mashamba makubwa unalima eka 1 unavvna nusu gunia ya mahindi, cha kushangaza bwana shamba analima yeye anapata yani kaajiriwa ili alime yeye
 
Kama kweli ni mchango wake hakuna tone la pesa ya serikali basi waite jina lake
amejitahidi sana huyu dada amejitoa kama mzaliwa Kisarawe, wakati hao wazaliwa wa huko hawana hata habari
 
acha mawazo mgando, mtu akifanya Jambo jema usimnyime sifa
Huku Arusha tuna shule zinaitwa Benjamin mkapa, Felix mrema (mbunge wa Arusha kaboa ya lema) nk. Dam Kuna hospitality zinaitwa Benjamin mkapa, jaka kikwete no.
Kiujumla uamuzi wa kucha legacy itakayomtaja mtaja kwenye historian anayo kiongozi mwenyewe
Mfano magu hakushindwa kuiita reli ya she reli ya magufuli na msingeomgea chochote, ama bwawa la nyerere hakushindwa kuliita magufuli dam nk
 
Mtu kama wewe ukute hata shule huna wala mjini hujawahi fika kuna mtu haijui Benjamin mkapa high school? ...
wacha shule kuna daraja la mkapa uwanja wa mkapa kiukweli huyo dada anastahili hiyo heshima amemfunika mpaka mbunge wa hapo ambaye ni mzawa
 
Hivi kuna shule yoyote inaitwa bibi titi mohammed ? au ipo yoyote ya boys inayoitwa job lusinde ? mi nauliza tu

Tuwaulize wa zamani huyu ameenziwa na wa nyakati zake wanaojua kushukuru wasiowabinafsi . Hongera sana Jaffo yaani siamini eti na mimi kiumri mkubwa kwa Jaffo daah. Jokate sina maneno ya kukuelezea ntaanzia chalinze kufikisha pongezi kisha ntaenda magomeni kagera, then ntapiga simu Tabora, siku moja wa Tabora atanikutanisha nawe, Ongeza bidii , maarifa na ubunifu zaidi na Mungu atatenda mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…