tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana.
Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa makini wataishia kujisifia tu kuwa wao ni born town kama ambavyo mstaafu mmoja amekuwa akijisifia ila kiuhalisia vichwani ni empty.
Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa makini wataishia kujisifia tu kuwa wao ni born town kama ambavyo mstaafu mmoja amekuwa akijisifia ila kiuhalisia vichwani ni empty.