Halafu yule jamaa nakuja na kauli eti kiwango cha elimu kimeshuka na wanafunzi wasichapwe bakora.Hongereni,naona mna mpaka 1.7
Wanaijua sana singeli na mabazazi wapo wa kutosha tu ila WAZAZI, WALIMU na WANAFUNZI kwa kauli ya pamoja walisema HAPANA kwa mambo hayo - subiri baadaye. Wale wa Dasilamu kila mmoja alishika njia yake na wametawanyika mioyoni mwao -huyu singeli kwanza, yule miti/game kwanza, wale bangikwanza, .... na matokeo yake ndo hayo- usishangae.Bado hawajajua singeli hao,na hakuna mabazazi wa kutosha huko kuwarubuni wanafunzi
Inafanya vizuri lakini sio Kama huku kwetu NjombeHii ni shule ya kata yetu mkoani mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe..changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar.unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana.hawa vijana wa Daslamu wasipokua makini wataishia kujisifia tu kuwa wao ni born town kama ambavyo mstaafu mmoja amekua akijisifia ila kiuhalisia vichwani ni empty.
hii ni ya kata ? na je wanaruhusu kuhamia ?Inafanya vizuri lakini sio Kama huku kwetu Njombe
View attachment 2499999
Ndio wanaruhusu shida ya pale ni uhaba wa madaraka kwahiyo wanachukua wanafunzi kulingana na wingi wa madarasahii ni ya kata ? na je wanaruhusu kuhamia ?