Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Aaah nilijua umejirekebisha kumbe bado, sasa hiyo "vs" kwenye kiswahili ina maana gani
 
Iyo nafasi niwaambie tu mtaipoteza maana tunawajua hamuijui iyo lugha mnaiharibu na vimisamiati vyenu vya ajabu ajabu tutapaza sauti kwa wa SA wawatimue hao walimu wa kikenya .....
 
Iyo nafasi niwaambie tu mtaipoteza maana tunawajua hamuijui iyo lugha mnaiharibu na vimisamiati vyenu vya ajabu ajabu tutapaza sauti kwa wa SA wawatimue hao walimu wa kikenya .....
Eti tutapaza sauti, boss acha umama tumieni bongo zenu, si huwa mnajiita wabongo? Hizi fursa zipo kwa wingi. Mkiwaza za Kenya na S.A. wenzenu tayari wanawaza kuhusu mengine makubwa zaidi.
 
Eti tutapaza sauti, boss acha umama tumieni bongo zenu, si huwa mnajiita wabongo? Hizi fursa zipo kwa wingi. Mkiwaza za Kenya na S.A. wenzenu tayari wanawaza kuhusu mengine makubwa zaidi.
Ndio tutapaza sauti mana mtaenda walish matango pori wa SA kuhusu hiyo lugha malizawa kujifany mnaijua kumbe hamuijui nchini kwenu tu mnashindwa kuwafundisha watoto wenu kiswahili kizuri unakuta mkenya lugha ya kiswahiki inampiga vyengaaa hajui tungo ,ngeli hamjui, yaan kuunda sentensi moja iliyo kamilika yenye kitenzi kiwakilishi na kielezi cha nafsi ya tatu yaan hapo utakamata wakenya hata mil 30 ss iweje mkawafundishe wa SA ... South sudannwalishituka janja janja yenu ...wakaja wenyeqe kututangazia fursa za kupiga darasa la kiswahili pale Juba university
 
Ati marejeo ya Kiswahili fasaha ni wapi! Hilo ni swali au uchochezi?

Lugha fasaha ni lugha inayofuata utaratibu wa kisarufi. Tofauti yetu na wakenya ni kuwa Kiswahili cha Kenya ni kibovu zaidi!

Jambo kama hujui sio lazima ujitutumue kwalo. Nilikuuliza swali rahisi sana.

Kauli yako unataka kuonyesha kama watu wanafikiri kitoto kama unavyofikiri wewe,walio tutangulia katika lugja ya Kiswahili waliweka marejeo kwa maana ya mizani ili ujue kwamba kauli ipi ina makosa ya sintaksia au kisarufi kwa ujumla wapi urudi ? Hii ndio maana ya marejeo.

Na ufasaha wa lugha ni baada ya makubaliano kutoka kwa wenye lugha husika,yaani marejeo ya usahihi hayaepukwi. Marejeo ya Kiswahili fasaha ni Tanzania.
 
Haya ni makosa ya kimatamshi ambayo ni madogo sana na si makosa ya kisarufi.

Jaribu kuwakosoa wa Tanzania kwa makosa ya kisarufi uone kama utaweza. Yaani mpaka uweze kufanya hivyo inabidi uwe mjuzi sana au kiasi wa lugha fasaha ya Kiswahili.
 
mtaenda tu kuwapotosha kile mnachoongeaga ni kiswahili au kichewa
 
Haya ni makosa ya kimatamshi ambayo ni madogo sana na si makosa ya kisarufi.

Jaribu kuwakosoa wa Tanzania kwa makosa ya kisarufi uone kama utaweza. Yaani mpaka uweze kufanya hivyo inabidi uwe mjuzi sana au kiasi wa lugha fasaha ya Kiswahili.
Kumbe haufahamu hata maana ya sarufi?

Matamshi ni Kipengele cha sarufi! Hauwezi kuzungumza kuhusu sarufi ukaacha kuhusianisha na utamkaji wa maneno ya lugha husika!

"Sarufi maumbo" ndiyo inayoelekeza namna maneno yalivyo na jinsi yanavyopaswa kutamkwa kwa usahihi wake! (vipashio vya lugha)

Mtu anayetamka R badala ya L au zamana badala ya dhamana ni mgonjwa wa lugha!
 
"Sarufi maumbo" ndiyo inayoelekeza namna maneno yalivyo na jinsi yanavyopaswa kutamkwa kwa usahihi wake! (vipashio vya lugha)

Ukimsikia mtu ana tamka "Zambi" kwa mswahili huwa unajua amemaanisha nini ? Je amepoteza maana ?

Je kosa la kimatamshi linafanya mtu asiwe fasaha ? Unatakiwa uangalie hoja yangu ilipo jikita.
 
We kweli umechanganyikiwa na kupagawa na mapepo! Watanzania wana hati miliki ya Kiswahili fasaha???

Mtu yeyote kutoka nchi yoyote anaweza kuzungumza Kiswahili fasaha madhali anafuata kanuni za Kisarufi! Hivyo, marejeo ya Kiswahili fasaha ni sarufi na sio nchi!

Punguwani wahed!
 
Ukimsikia mtu ana tamka "Zambi" kwa mswahili huwa unajua amemaanisha nini ? Je amepoteza maana ?

Je kosa la kimatamshi linafanya mtu asiwe fasaha ? Unatakiwa uangalie hoja yangu ilipo jikita.
We ni punguwani kweli kweli! Bloody fool!
 
Unajua kwamba Kiswahili kina wenyewe ?

Ufasaha kila mtu anaweza kuwa nao lakini sharti ajifunze kwa mtu anae jua Kiswahili hicho,na lazima arudi kwenye asili.

Unatakiwa kuelewa maneno. Kiswahili kina wenyewe ila kila mtu anaweza kuwa fasaha.

Umiliki wa lugha au kukataa umiliki wa lugha ni kuupinga ukweli na kuipinga misingi ya lugha. Ndio maana pakawa na waswahili kwa maana ya watu wa ukanda wa pwani lakini si kila aliyeko ukanda wa pwani ni Mswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…