Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

MK254...Najaribu kktumia pm ila nashangaa inakataa...ila usijali...nikishalitatua tatizo la simu yangu nitakutumi...wanawake wazuri wapo...ni wewe tu
 
Wakenya ,waganda,wasudani, warwanda,wasomali warundi wote kapu moja kwahili hawajui.
Huna unachokijua kaa kimya. Kiswahili asili yake ni mchanganyiko wa kiarabu na na lugha za makabila ya pwani. Kenya kuna mwambao wa pwani ambao una makabila yanayotumia kiswahili ambayo ndio asili yao, unasemaje hawajui. Inawezekana hata wew ukawa mtu wa bara ambaye kiswahili hakikuhusu kabisa na kikamuhusu yule anaetoka pwani ya kenya.
 
Yani watanzania tumehangaika kukikuza kiswahili hadi ubora wa elimu yetu umeshuka lakini tukang'ang'na tu na kiswahili alafu Leo hi matunda ya lugha ya kiswahili wanaenda kufaidi wa Kenya

KWELI SISI FUNGU LA KUKOSA
 
Nyie kulambana madume kawaida si mapunga watupu.Hongereni kiswahili chenu wa tz wavumilivu.Na sisi sijui lugha yetu ipi mtupe basi kiluo au kikuyu huo ni uonevu.wakenya tembeeni vifua mbele kwa kiki zenu
aisee pole mkuu...kwani unaumia eti?😁💩ww
 

Daaa mkuu umetuweza .
 
Povu la nini sasa kuambiwa hamjui kiswahili? Jinyonge basi
 

Hili tamko "hungeandika" una maanisha nini ?
Kila lugha inajitosheleza kwa watu wake,yaani imekamilika.

Hakuna lugha isiyo kopa kwa maana ya kutohoa maneno,hata zile lugha kongwe za kale zina kopa msamiati kutokana na tabia za kiasili yaani za maendeleo.

Sasa inaonekana unataka kuruka hali ya kuwa huna mbawa,lazima usahau mengi katika elimu na lazima ukosee kama ulivyo kosea hapa.

Siku nyingine usionge jambo ambalo huna elimu nalo.
 

Unatakiwa utofautishe kati ya lahaja za Kiswahili na Kiswahili sanifu.

Ukizungumzia ufasaha wa Kiswahili yaani Kiswahili sanifu,kwa makubaliano ya wajuzi wa lugha hii,walikubaliana na kuteua lahaja ya Kiunguja kuwa ndio Kiswahili fasaha na sanifu. Yaani marejeo ya Kiswahili ni kwa lahaja ya Kiunguja na usanifishwaji uliofata baadae,wa ila zile lahaja zingine kama za pwani ya kenya kama vile Kiamu,Kimvita Kimpate na nyingine za pwani ya Tanzania mpaka rufiji hizi zinabaki kama lahaja za Kiswahili ila sio kama ni marejeo ya Kiswahili sanifu.


Kwahiyo unaposema waswahili wa pwani ya kenya wapo vizuri,swali kwa msingi gani ? Je msingi wa matamshi au sarufi ?

Kushindwa kutofautisha kati ya L na R ni udhaifu wa kawaida tu ambao si sababu ya msingi ya kuondoa ujuzi wa lugha husika japokuwa ladha na mnato wa lugha hupotea.

Tuendelee...
 
Huo ndio ukweli kaka usikatae ukweli. Out of 10 only one anaweza kuongea au kuandika kiswahili fasaha TZ. Advantage ambayo watz wanayo over kenyans kwenye kiswahili is that they can speak very fast. Hilo tu mkuu
Unajua lugha hai komei katika kusikika tu bali msingi mama wa Kiswahili ni Sarufi. Bali msingi wa lugha yoyote ile,hayasemi haya unayoyasema wewe isipokuwa mtu asie jua sarufi ya Kiswahili.
 
Kiswahili cha tanzania ndicho tumika kuikomboa Africa Kusini. Wapigania ukombozi wote walitumia Kiswahili cha Tanzania had leo
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
kumbe wewe hujui kiswahili..unapiga kelele tu...nipe maana ya
STATE....
COUNTY...

Alafu hayo maelezo yako..ilikuwa unamaanisha ugatuzi..wala si gatuzi..

sasa nionyeshe aisee katika kamusi ya kiswahili..

Sio "Alafu" sahihi ni "Halafu".

Tuendelee...
 
Hiz
Pande hii
Ukuje
Haiko
Ako tu sawa
Akuongeleshe
Inaendanga
Siutembezeage
[emoji23][emoji23][emoji23]
o nondo nilizisahau hasa hiyo ya NGA mkenya hasa nkikuyu sehemu kwenye neno GA hawezi kutamka atatamka NGA kwa mfano gari atasema NGARI
 
sasa sijui i mtaendakuwafundisha kiswahili gani hao
 
Usafi wa Kiswahili unaupataje au unaujuaje ?

Mombasa wanaongea Kiswahili cha lahaja na si Kiswahili sanifu kwa maana kilichoteuliwa.

Ndio maana leo hii hatusemi ya kuwa "Mato" au "Kitwa" ni Kiswahili sanifu bali "Macho" na "Kichwa" ndio Kiswahili sanifu. Japokuwa "Mato" na "Kitwa" ni Kiswahili pia.

Au nakuuliza swali rahisi wewe marejeo yako ya kujua ufasaha wa Kiswahili ni wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…