Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Mkuu usishangae kwa hilo ulaya na marekani huko kwenye vyuo vyao ni Wakenya tu.ninyi bakini na kusema mna kiswahili fasaha kutafuta masoko zero.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hatujakataa..ila tunawahurumia AK maana watapata Kiswahili cha hovyo hapa Duniani
Wewe ndio unaamini hivyo. Wao wanefanya research kabla ya kuiteua kenya. Wakaona Kenya ndio wapo vzr kuliko nchi yoyote. Wew umebakiwa na kusema kiswahili chetu basi wakatu huna unalolijua
 
Copy & Paste

South African schools will start teaching Kiswahili language following an agreement between Pretoria and Nairobi on Thursday, it has emerged.

This precedes Thursday’s meeting in which the Cabinet Secretary of Education Prof George Magoha and South African Minister for Basic Education Angelina Matsie Motshekga signed a Memorandum of Understanding for the respective countries.

Last year, Ms Motshekga, revealed that plans were in place to have the subject introduced in all schools as part of basic education, adding that the Kiswahili language is widely spoken in Africa.

In South Africa, Afrikaaner, English, Dutch, Zulu, Khosa and Sotho are among widely spoken languages. English is the official language of the country.

“Kiswahili is one of the most spoken languages in Africa after Arabic and English; and could expand to countries that have never spoken it before and as a result draw Africans closer together,” said Motshekga.

Economic Freedom Fighters party leader Julius Malema has also been pushing for Africa to adopt Kiswahili language as the common language that can unite Africans.

“We need to start doing away with those things. Maybe not in our generation, but in generations to come, we must develop a common language that can be used throughout the continent. Like Swahili, if it can be developed as the language of the continent,” Malema said.

Apart from Kenya, Tanzania and Zanzibar, Kiswahili is spoken in parts of Uganda, DRC Congo, Rwanda, Burundi, Malawi, Mozambique and South African nations of Zambia and Zimbabwe.


Kwakweli kuna baadhi ya mambo yanaumiza mno. Hivi wizara ya Elimu ilifanya juhudi zozote kupigania fursa hii?
 
Halafu Mkenya na Mwafrika kusini angalau wataelewana kiingereza chao kimesimama huku you know na yes yes nyingi elimu ya kata.
 
Hili la Kiswahili ni mfano mmojawapo wa kuwa na wanasiasa dhaifu wanaoongoza nchi yetu. Utasikia "Sudan ya kusini wanahitaji sana waalimu wa Kiswahili, vijana changamkieni fursa". Hao vijana wanachangamkia fursa kupitia mfumo upi ulio rasmi?
 
Wakenya washatupiga bao wakati akina Mwakiembee na Kabudi wanakula bata kwa kuimba sifa za mkuu wa magogoni!
Afrika ya Kusini wamefanya mabadiliko ya mfumo wao wa elimu,sasa wataanza kusoma Kiswahili badala ya Kifaransa na Kireno.

Kutokana na maamuzi haya,Serikali ya Afrika ya Kusini imeingia Makubaliano rasmi na Serikali ya Kenya ili Kenya ipeleke wataalam wake kwenda kufundisha Kiswahili nchini Afrika ya Kusini.

[emoji15]Haya mambo hayaaaaaa[emoji15]
 
Afrika ya Kusini wamefanya mabadiliko ya mfumo wao wa elimu,sasa wataanza kusoma Kiswahili badala ya Kifaransa na Kireno.

Kutokana na maamuzi haya,Serikali ya Afrika ya Kusini imeingia Makubaliano rasmi na Serikali ya Kenya ili Kenya ipeleke wataalam wake kwenda kufundisha Kiswahili nchini Afrika ya Kusini.

😳Haya mambo hayaaaaaa😳
Kuna kitu nakiona hapa.

Sio South Africa pekee. Hata sehemu nyingine tumeshindwa kupeleka Waalimu wa Kiswahili.

Kwa maoni yangu, Walimu wetu wanapaswa kujua Kingereza ili waweze kwenda nje ya nchi kufundisha Kiswahili. Nahisi tunafeli hapa.

Wakenya na Kiswahili chao kibovu, wanatushinda hapa.
 
Ni bora nivumilie kusikiliza Kiswahili cha Kenya kuliko kumsikiliza mtanzania anayeongea au kuandika Kiswahili cha hovyo!

Hongera Wakenya kwa kuchangamkia fursa! Tz kuna majitu mazuzu sana wasioweza lugha yoyote!
Kama wewe. Wee ndio Zuzu,wao wanakimbia ukabila wao.
 
Wewe ndio unaamini hivyo. Wao wanefanya research kabla ya kuiteua kenya. Wakaona Kenya ndio wapo vzr kuliko nchi yoyote. Wew umebakiwa na kusema kiswahili chetu basi wakatu huna unalolijua
Bado hujajua tu hata tafiti huwa zinakosewa...acha wasome Kiswahili cha ajabu
 
Kweli mkuu. Origin ya kiswahili ni kiarabu na makabila ya pwana. Huwezi pata mtu wa pwani mpira akaita mpila, au thamani akasema samani au dhahabu akasema zahabu. Watu wa pwani wanaweza tamka haya maneno bila taabu kwasababu wengi wamepitia madrasa na kuyajua haya. Watu wa bara wameyakuta haya na kwakuwa wana lugha zao za mama, yanawashinda haya.
kun jamaa hapa kasema kiswahili hakiwahusu wabara..kuna wengine wakaanza kutema mapovu...nashuku hao jamaa ni wa kutoka tanzania bara kwel...si wajikubali km wabara wa kenya...wanajikubali km kiswahili hakiwahusu...
 
Ni muhimu kujua Kiingereza kwanza ndipo tutafumdisha kiswahili nchi zinazotumia Kiingereza. Ki-english hatukijui, Ufundishaji utakuwa ngumu.
 
Dah! WaKenya nouma sana kwa kuchangamkia fursa. Yaani Tanzania ndio kwanza wako usingizini.
 
Back
Top Bottom