Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Sasa unabisha mkuu. Mimi kuna jamaa tena sio mmoja wamemaliza chuo kikuu kabisa. Mpaka huwa nashangaa na kujiuliza maswali mengi tu
Nabisha ndio, kwa sababu sina mshikaji yeyote anayekosea lugha , wewe utakua mtu wa lake zone bila shaka
 
Sababu ni rahisi tu. Watanzania wengi hawajui kiingereza vizuri. Sasa pamoja na kwenda kufundisha kiswahili lazima uwe na uwezo wa kuongea kiingereza fasaha kuweza ku communicate vizuri kile unachofundisha. Wakenya wako vizuri kwa hili. Na hapo ndipo ninapowashangaa wale wazee wa kiswahili wa UDSM eti tibadili mitaala iwe ya kiswahili. Tunajisahau huku tukidhani dunia ni kijiji cha Tanzania tu.
 
Aisee, tunahaja ya kuboresha elim yetu Sana, ili watu wafaham kingereza vizur, bila hivyo fursa nyingi zitatupita
 
Hahah. Mimi mkuu sio mtu wa lake zone na wala sijawahi fika huko. Wapo wengi maisha yao ya kusoma ni hapa tz kuanzia la kwanza mpaka chuo, kiswahili chao ni disaster
Nabisha ndio, kwa sababu sina mshikaji yeyote anayekosea lugha , wewe utakua mtu wa lake zone bila shaka
 
Wewe hujachunguza mwenyewe, hizo ni propaganda tu chunguza mwenyewe utaona. Sas wasouth afrika ni wajinga kiasi gani waache kuchukua watz tena marafiki Zao wa karibu kabisa waende kenya
Tanzania tuna kiswahili kizuri kuliko, ila waKenya sijui wanatupiga vipi.
 
Hahah. Mimi mkuu sio mtu wa lake zone na wala sijawahi fika huko. Wapo wengi maisha yao ya kusoma ni hapa tz kuanzia la kwanza mpaka chuo, kiswahili chao ni disaster
According to your opinion
 
Wakombozi wa Afrika kusini leo wamecatch mafeelings. 😀 Nashangaa kuona wasukuma na wanyamwezi wakisema kiswahili ni chao wakati watu wa Kismayu, Somalia walianza kuongea kiswahili miaka mingi sana kabla ya mababu zao kujinyunyizia maji bullet proof kwenye vifua vyao.
 
Serikali ya CCM Ndio Tatizo na mzizi wa matatizo yote

1. Ubora wa elimu yetu umeporomoka sana
- hesabu hovyo
- English hovyoo

2. Walimu hawathaminiwi

3. Elimu haithaminiwi

CCM imejaa vilaza wanasiasa wasio na weledi wala uelewa

CCM imejaa wajinga Tazama wabunge wake
Kila upumbavu wanaupitisha kipumbavu... ndiyooooo, hawawezi kuhoji wala kudadisi

Tazama hapa JF washabiki wa CCM wanaisifia kwa hoja zakijinga, upumbavu mwingi na udhalilishaji

Kama taifa tunakilasababu kuilaani CCM kwa madhaifu yanayoendelea

Elimu hovyohovyo
Bunge halieleweki kabisa
Serikali haisikilizi, haitaki kukosolewa,imefunga kila jambo....

Hatutaweza kufanikiwa chochote ndani ya CCM
 

A Memorandum of Understanding (MoU) is not a done deal, a Project Specific Agreement (PSA) still has to be signed tp seal a deal, remember what happened in the oil pipeline?

A similar understanding has already been entered between Tanzania and SA, currently, the Baraza la Kishwahili Tanzania (BAKITA) is developing a formal framework for teaching Swahili in non-Swahili speaking countries as well as retraining Swahili teachers for such tasks, so far more 600 of them have already been trained.

There lie a huge opportunity for both TZ and KE Kiswahili teachers in this vast market of the government owned and private owned schools.

It will never be a one winner takes all type of a game.
 
kwa mfano mimi mtaalamu wa kiswahili na kiingereza tena kwa ufasaha kuna namna gani ya kutumia huu mwanya kuomba kwenda kufundisha Afrika kusini kiswahili?

Ivi serikali inaakili kweli,kuna mtu ni waziri wa ajira na vijana anajiamini nini kukaa ofisini na fursa kama hizi hazioni wakati maelfu ya vijana mtaani hawana ajira?

Binafsi ntalifanyianudadisi na tutapambana na Wakenya maana najua south Afrika na Tz kidiplomasia ziko vizuri.
 
Wewe mwenye elimu nzuri unafanya nini humu.

Halafu magufuli akiondoa vyeti fake mnapiga kelele!

Wana JF nani aliwaroga?
 
Ata safari za nje tu tz, ni ufisadi unategemea izo nafasi watapewa kina nan, wazir wa mambo nje anahangaikia serikal kusemwa na wapinzan badala ya mambo ya msingi kam haya yanayoitangaza nchi yetu kimataifa. We have a long journey to go.
 
Mimi mkuu nimesema hapa watu wanatetea. Tx kiswahili kwenye makaratasi ni kitamu sana. Sasa mtafute Mtz tena msomi tu mwambie aandije au aongee kiswahili, utakimbia.
Hao ndio wale wanaoenda shule "kusomea ujinga". Unakuta jitu Kiingereza halijui, Kiswahili halijui, Kila lugha hajui! Anachojua ni kupiga porojo za siasa tu na kuomba papuchi mitandaoni.

Illiteracy rate nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani! Maana kuna watu wanaojiita wasomi lakini kumbe ni illiterates wa kutisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…