GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Mimi sio zuzu maana angalau Kiswahili nakimudu vilivyo hata nikiamshwa usiku wa manane siwezi kukosea sarufi!Kama wewe. Wee ndio Zuzu,wao wanakimbia ukabila wao.
Wengi wenu hamjui lugha hasa ya maandishi, japokuwa matamshi nayo ni mabovu lakini angalau mnayaficha kwa kuongea haraka haraka!
Ohh tunataka Kiswahili, ohh sijui mabeberu! Kiswahili chenyewe hamkiwezi!! Mnababaisha tu!