Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka.

Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
 
Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ta afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka.

Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
Ipo ila sio hicho kiasi sisi tunatozwa 56k tu kwa mwaka.
 
Kama unampenda mwanao, mkatie bima, ila siyo kwa kiwango hicho, hicho kiwango ni kikubwa sana.
 
Back
Top Bottom