peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Oct 18, 2023 #1 Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Oct 18, 2023 #2 peno hasegawa said: Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ta afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi! Click to expand... Ipo ila sio hicho kiasi sisi tunatozwa 56k tu kwa mwaka.
peno hasegawa said: Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ta afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi! Click to expand... Ipo ila sio hicho kiasi sisi tunatozwa 56k tu kwa mwaka.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Oct 18, 2023 #3 Wee mKave mwanao na Bima....! Acha Ubishi..
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Oct 18, 2023 #4 Kama unampenda mwanao, mkatie bima, ila siyo kwa kiwango hicho, hicho kiwango ni kikubwa sana.