BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hayo ni maigizo ya kawaida sana mashuleni ili kuvaa uhusika wa FASIHI.Umeahawahi kuigiza na sketi mkuu??
Aisee enzi zetu hata kama ni maigizo sijaona wa kumvisha sketi aisee
Tatizo ni kwamba SHULE ZA SENTI KAJAMBA hazina practical learning, ndio maana mwisho wa siku wanaambulia madivisheni foo.
SHULE ZA SENTI KAJAMBA ni msiba.