johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Bwashee vijana wanakunywa pombe kali na mbege, wanasahau masomo. Wakifeli wanasingizia CCM haijawekeza kwenye elimu.Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Wewe unalamba makalio ya Ndumilakuwili!Mtu wa Kilimanjaro ila mlamba matakor wa bwana mawe?
Really?
Utakua sio mwenyeji wa kweli,utakua muhamiaji wa miaka ya karibuni
Uangalizi wako sio sahihi
Hakunaga mwaka Shule bora kabisa yenye watoto zaidi ya 25 ilishawahi kutoka Kilimanjaro,never
Chini ya watoto 25 ndio hua zinatoka Uru Seminary,Maua,St. James,etc....juu ya 25 students KLM has never put up any school on top 10 au even top 20
Kilimanjaro hua inaongoza kwenye ufaulu wa jumla jumla
Sijacheck mwaka huu kwenye ufaulu wa jumla KLM imekua ya ngapi,sidhani ndani mikoa top 3 inakosekana,I dont think so.
Nimekuelewa mkuu.Watu wa Kilimanjaro wengi wanasomesha shule zenye ufaulu wa juu zilizoko mikoa mingine hawasomeshi watoto wao shule zilizoko mkoani kwao kilimanjaro kama zamani.
Ukienda shule nyingi za sekondari za private zilizoko kilimanjaro waliojazana kule ni watoto wanaotoka nje ya mkoa wa kilimanjaro wa makabila memgine yasiyo ya mkoa wa Kilimanjaro
Kwa hiyo kiuhalisia wanaotoka mikoa mingine ndio wanaosababisha kilimanjaro isiwake vizuri kwenye matokeo ya form four
Ina watoto wengi kutoka kilimanjaro na nje ya mkoa wa Kagera wanaosoma hapo wengi sio watoto wa KageraKagera imo top ten kama kawaida yake
Hata nyie walamba makalio ya Ndumilakuwili wote ni wake wa Robert Amsterdam........ hahahaaaa!Mkuu
Usikasirike wewe kulamba matakor ya mawe,you are free mzee
Nime just state the fact...hata wewe unasema nalamba ya Ndumilakuwili,no problem
Ila usikasirike,nyote nyie walamba matakor wa mawe ni wake zake...
Hahahaaaa...... Wewe ya Robert Amsterdam!Regardless....wewe ukiambiwa ya mawe inakuuma sana
Oooh muone huyu eti wengi kutoka KilimanjaroIna watoto wengi kutoka kilimanjaro na nje ya mkoa wa Kagera wanaosoma hapo wengi sio watoto wa Kagera
Kagera imekuwa ya ngapi?Nimekuelewa mkuu.
Hata ile shule maarufu mkoani Kagera wanafunzi wengi ni wachaga!
Miaka ya nyuma Pesa ilikuwepo sana tu hivyo hata uwezo wa Kununua Pepa ulikuwepo ila hivi sasa Mkemia kabana Mianya yao yote ya Udokoaji.Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Sasa km hujachek mwaka huu unachopinga kwa mtoa mada Ni nn?umekurupuka brooMtu wa Kilimanjaro ila mlamba matakor wa bwana mawe?
Really?
Utakua sio mwenyeji wa kweli,utakua muhamiaji wa miaka ya karibuni
Uangalizi wako sio sahihi
Hakunaga mwaka Shule bora kabisa yenye watoto zaidi ya 25 ilishawahi kutoka Kilimanjaro,never
Chini ya watoto 25 ndio hua zinatoka Uru Seminary,Maua,St. James,etc....juu ya 25 students KLM has never put up any school on top 10 au even top 20
Kilimanjaro hua inaongoza kwenye ufaulu wa jumla jumla
Sijacheck mwaka huu kwenye ufaulu wa jumla KLM imekua ya ngapi,sidhani ndani mikoa top 3 inakosekana,I dont think so.
Boss achana nao.....Mkuu
Naona aliekurupuka ni wewe
Yeye kaangalia list ya watoto mmoja mmoja walioko Top 10,hakuna hata mmoja kutoka shule yeyote ya Mkoa wa Kilimanjaro
Kumbuka hiyo ni list ya mtoto mmoja mmoja kwenye top 10 na shule yake aliyotoka
Nasemea UFAULU WA JUMLA wa kila shule kitaifa,mkoa gani shule zake zimefaulisha watoto wengi zaidi?
Yaani ukipanga Top 10 ya mikoa kwa ufaulu wa JUMLA,Kilimanjaro haikosi namba 1-3!
Nadhani aliekurupuka ni wewe
Boss achana nao.....
1. Arusha
2. Kilimanjaro
3. Iringa
Link [emoji116][emoji116]
Hii hapa Mikoa mitatu iliyoongoza kwa ufaulu Kidato cha nne - Millard Ayo
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kitaifa ya upimaji wa maarifa kwa darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana, 2020. Akitangaza matokeo hayo jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema ufaulu...millardayo.com