johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Nani kasema nimeangalia mwanafunzi mmoja mmoja?!Mkuu
Naona aliekurupuka ni wewe
Yeye kaangalia list ya watoto mmoja mmoja walioko Top 10,hakuna hata mmoja kutoka shule yeyote ya Mkoa wa Kilimanjaro
Kumbuka hiyo ni list ya mtoto mmoja mmoja kwenye top 10 na shule yake aliyotoka
Nasemea UFAULU WA JUMLA wa kila shule kitaifa,mkoa gani shule zake zimefaulisha watoto wengi zaidi?
Yaani ukipanga Top 10 ya mikoa kwa ufaulu wa JUMLA,Kilimanjaro haikosi namba 1-3!
Nadhani aliekurupuka ni wewe