Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

Nani kasema nimeangalia mwanafunzi mmoja mmoja?!
 
Nitadharauje mkoa wangu bwashee?!

Tatizo lako unadhani wachaga wote tuko Chadema!
 
Mimi na wewe tunajuana sana kwenye mijadala mingi sana humu

Kudharau Kilimanjaro hujaanza leo....nakucheck tu unatuzuga hapa,eti "mimi wa Kilimanjaro"

Huwezi kua unadharau huo mkoa kiivyo hapo hapo unatudanganya unatoka huko....I doubt that!
Kwetu ni Userri bwashee mbunge wangu ni Prof Mkenda!
 
Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.

Tunafeli wapi jamani?

Maendeleo hayana vyama!
Za Mwanza na Geita Vipi na Shinyanga na Mara. Hamna Shule huko?
 
Saa hizi kila jambo tumehamishia chato hata top 10 next year zitatokea Chato ! Ondoa Shaka
 
Kilimanjaro ina shule 319 za secondary ,kuna watu hawataona juhudi binafsi za watu kujijengea shule hapo? watu wameanza kupenda elimu toka miaka hiyooo leo kazi kupigwa majungu tu ,mnajua kwamba 1890 kulikuwa na gazeti la kichaga watu wanasoma kabisa?
miaka hiyo makabila mengine yako bize kulogana hadi miaka ya kAribuni tu ndo wamepunguza maana kuna hadi speaker mstaafu mmoja alienda kuomba ruhusa kwa wazee wa jadi kujenga nyumba ya bati la sivyo angeuliwa kwa uchawi
Jamii za hivyo leo vizazi vyao vinalaumu wachaga ambao hawajawahi kutoa hata waziri mkuu ,pathetic
No wonder wengine wanashangaa xmas wachaga kwenda kwao maana kuna baadhi ya makabila ukitembelea home hata na ki vitz kama hujajikinga kisawasawa utazikwa hukohuko kijijini,NENO WIVU WA MAENDELEO KWAO NI MSAMIATI
 
Ni nadra Sana kwa shule za Kilimanjaro kuingia top 10;

Top ten mikoa ambayo huwa haikosekani ni Arusha, Morogoro na Dar.
 
Ni nadra Sana kwa shule za Kilimanjaro kuingia top 10;

Top ten mikoa ambayo huwa haikosekani ni Arusha, Morogoro na Dar.
kimkoa kilimanjaro haijawahi kosa top 10, hata mwaka huu ni ya pili nyuma ya arusha,k njaro ina shule 319 za sekondari inamaanisha kwamba shule nyingi zinafanya vizuri hata kama siyo za kuingia top 10,sasa unaweza kuta labda marian iko pwani ikawa ya kwanza au ya pili kishule lakini mkoa wa pwani nyingine zikafanya vibaya sana mkoa mzima unaloose
 
Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.

Tunafeli wapi jamani?

Maendeleo hayana vyama!
Wachaga siyo watu genius ktk masomo. Acheni ubaguzi, changanyikeni na makabila mengine shuleni ili vichwa vichemke. Acha kujivunia eti tumesoma sana! hakuna vichwa huko, vinalazimishwa tu!
 
Hii hali sio kwa Kilimanjaro tu ni mikoa yte, kwaio judgement hapa sio makabila au wazawa wa Kilimanjaro...issue hapa ni shule zilizopo mkoani Kilimanjaro..
 
Sawa mkuu naona wewe umezungumzia matokeo kwa ujumla na Mimi nilikua nazungumzia ya individuals ila hakuna kilichoharibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…