Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kitaifa ya upimaji wa maarifa kwa darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana, 2020.Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Kwa awamu hii Kilimanjaro lazima iko siku itakuwa ya mwishoNimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa......!Kwa awamu hii Kilimanjaro lazima iko siku itakuwa ya mwisho
Jamaa amekuzid ujanja wa ki uandishi,Inshort amecheki akaona na akajidai hajacheki ili wale wasiocheki waingie mkenge kama wewe.Sasa km hujachek mwaka huu unachopinga kwa mtoa mada Ni nn?umekurupuka broo
Ubongo wako uko obsoluteWazee wa zamani Kilimanjaro waliupenda sana mkoa wao kiasi hawakuwa wakienda huko Krisimasi bali waliishi huko, kutokana nakuishi huko waliishi na watoto wao karibuni tofauti na hawa wanaokwenda kutengeneza watoto kisha wao wanarudi Dar kutafuta maisha mtoto anaishi na mama, bibi na babu mpaka Krisimasi. Hao ambazo mtoto anaishi nao hawana uwezo tena wa kufuatilia mwenendo wa mtoto shuleni.
Ubongo wako uko obsoluteWazee wa zamani Kilimanjaro waliupenda sana mkoa wao kiasi hawakuwa wakienda huko Krisimasi bali waliishi huko, kutokana nakuishi huko waliishi na watoto wao karibuni tofauti na hawa wanaokwenda kutengeneza watoto kisha wao wanarudi Dar kutafuta maisha mtoto anaishi na mama, bibi na babu mpaka Krisimasi. Hao ambazo mtoto anaishi nao hawana uwezo tena wa kufuatilia mwenendo wa mtoto shuleni.
Kwa awamu hii Kilimanjaro lazima iko siku itakuwa ya mwisho
Ubongo wako uko obsolute
Au unamaanisha ABSOLETE?
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kitaifa ya upimaji wa maarifa kwa darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana, 2020.
Akitangaza matokeo hayo jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.09 ikilinganishwa na yale ya kidato cha nne kwa mwaka 2019.
“Mikoa iliyoongoza kwa ufaulu katika mtihani wa kidato cha nne ni Arusha, Kilimanjaro na Iringa huku kwa upande wa Halmashauri Bagamoyo ndio imeongoza,” Dkt. Msonde.
Aidha, Msonde amesem a kuwa baraza hilo limefuta matokeo ya watahaniwa 215 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo.
Angalia hapo ☝️we kila.za
[emoji16][emoji16]Tchattle imechukua nafasi
Hongereni DC Kasesela!Unamaanisha nini ufaulu wa jumla?
Nimeona huyu Mkuu wa Mkoa kaposti hii hapa chini labda ndio inahusiana na huo “ufaulu wa jumla”.
View attachment 1679010
Chuki ya nini sasa?..mada hii imeanzishwa ili kuchochea chuki dhidi ya wanaotoka Kilimanjaro.
Kilimanjaro ina shule 319 za secondary ,kuna watu hawataona juhudi binafsi za watu kujijengea shule hapo? watu wameanza kupenda elimu toka miaka hiyooo leo kazi kupigwa majungu tu ,mnajua kwamba 1890 kulikuwa na gazeti la kichaga watu wanasoma kabisa?
miaka hiyo makabila mengine yako bize kulogana hadi miaka ya kAribuni tu ndo wamepunguza maana kuna hadi speaker mstaafu mmoja alienda kuomba ruhusa kwa wazee wa jadi kujenga nyumba ya bati la sivyo angeuliwa kwa uchawi
Jamii za hivyo leo vizazi vyao vinalaumu wachaga ambao hawajawahi kutoa hata waziri mkuu ,pathetic
No wonder wengine wanashangaa xmas wachaga kwenda kwao maana kuna baadhi ya makabila ukitembelea home hata na ki vitz kama hujajikinga kisawasawa utazikwa hukohuko kijijini,NENO WIVU WA MAENDELEO KWAO NI MSAMIATI
shule za sekondari nchi nzima zipo 3900 kati ya hizo 320 zipo kilimnajaro almost 10 percent majinga yanaongea pumba tu hayajiulizi ilikuwaje zikawa nyingi hivyoo?kabila halijawahi kuwa hata na waziri mkuu,kuna majitu yamekalia uchawi hadi leoUkiona huwezi kushindana na mtu ungana nae. Hawa kila kukicha nikuisema tu Kilimanjaro kujifunza kwetu hawataki wivu husda ndo vimewajaa.
Usilazimishe mambo mkuu, ishu ni kwamba shule zenu hazimo top ten na wala hapo kemebos hamna Wachaga kama unavojidanganyaNimekuelewa mkuu.
Hata ile shule maarufu mkoani Kagera wanafunzi wengi ni wachaga!
Ni kwamba Enzi za mchaga zimekwisha. Sasa ni Enzi ya makabila mchanganyiko mchanganyikoNimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!