Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

Bwashee ungeweka hiyo list ya top 10 juu hapo kwenye post ya kwanza,sio kila mtu anajua Top 10 list.
 
Mkuu

Usikasirike wewe kulamba matakor ya mawe,you are free mzee

Nime just state the fact...hata wewe unasema nalamba ya Ndumilakuwili,no problem

Ila usikasirike,nyote nyie walamba matakor wa mawe ni wake zake...
Hata nyinyi ni wake wa ndumilakuwili
 
Mikoa ya kanda ya ziwa Sasa hivi wazazi wameamuka kwenye kusimamia watoto wao kusoma huku mikoa iliyokuwa inasimamia watoto kusoma ikirudi nyuma.
Mkoa uliopo ndan ya top 3 form four na form two umerudi nyuma??
 
Umedandia treni kwa mbele manka!
Nimechunguza aina ya posts zako, nikatamani nikusikie hata kwa sauti . Tumesomeshea baadhi ya watoto wetu shule za Kilimanjaro na wengine mikoa yetu miaka kadhaa iliyopita now we can note their differences! Hadi leo Kilimanjaro bado ni kitovu cha ubora wa elimu. Tulioko mikoani tusiwabeze watu hao kwa vigezo vya tofauti za kisiasa.
 
Wewe utakuwa unapaqatwa sio bure, St. Mary Goreth imewah kufanya hvo Kibosho gals likewise hata hzo seminary zmewah kuingia kwnye category ya wanafunz zaid ya 40 mara kibao tu, Scholastica imewah
 
Hujui unachoongea, Issue sio kuwa namba moja... Issue ni shule ngapi kutoka Kilimanjaro zimewahi kuingia top 10

BTW kushika namba moja pia zmewahi kushika shule nyingi from that region regardless of the category, Your problem is hutaki na hupendi kusikia hilo au umetokea NTWARA nn?😝😝

Hutaki kapigane na Ukuta
 
Ndumilakuwili ni fictional character,kua wake zake ni sawa na fction

Ila mawe ni real person,nyie wake zake,which makes it real!

Upgrade your brains maafakaz!
Ati fiction character, ndumilakuwili ni mbowe, mtu anasema lowasa fisadi afu anakuja waambia sio fisadi, awe Rais. Huo ndio undumilakuwili, hutaki viti maalum leo, afu una pokea ruzuku zao kisirisiri. Huo ndio undumilakuwili, na nyinyi nyumbu woote, madafakas, ndio wake zake.
 
Ina watoto wengi kutoka kilimanjaro na nje ya mkoa wa Kagera wanaosoma hapo wengi sio watoto wa Kagera
Acha unaaa wew dogo. Mimi ni mwalimu Nafundisha hapa Kaizirege na mimi siyo Mhaya ila kusema tu ukweli madogo wa kihaya wanapiga msuli acheni wivu wa kike
 
Watu mnakunywa pombe namna hiyo..akili ya kusoma mtaitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…