Nakazia hoja.Unataka iweje mtoa mada? Hebu tueleze
Vyema sana; hata kumwagilia bustani ni kazi, shughuli au ni zoezi na fundisho jema kwa watoto kwamba lazima mtu afanye kazi. Wazazi Tuwe makini sana ili tusije tukajikuta tunalea "watoto Mayai" na itakapofika wakati hatuko nao tenaShule ya msingi niliyosoma kila mwezi unapeleka 300 ya usafi.
Watu wanalipwa kusafisha vyoo na kufagia viwanja kazi yetu ni kumwagilia bustani tu.