Shule zangu 3 bora za serikali mkoa wa Dar es Salaam

Shule zangu 3 bora za serikali mkoa wa Dar es Salaam

Kwa shule za serikali dar
1.Azania
2.Pugu
3.Dar sec
4.Jangwani
5.Benjamin
6.Chang'ombe(duce)
7.Kibasila
8.Mbezi beach
9.Jamhuri DSM
10.Zanaki girls
Hizi nadhani mzazi anaweza kuangalia uwezekano wa kupeleka mtoto na akiwa na ufatiliaji mtoto anaweza kufanya vizuri
 
Kibasila sec schools siku hizi wanazipita hizo shule zote hapo juu
Angalia matokeo ya Kidato cha 4 , cha 6 miaka mitano mfululizo utaniambia
Azania, Jangwani imebaki majina
Mkuu wa Kibasila apewe Maua yake
 
Kinachofanyika Dar es salaam sekondary ni kuwafukuza au kuwahamisha wanafunzi wanaofeli.
Hakuna huo utaratibu Dar sec hata mwaka huu kuna zero moja katika matokeo ya kidato cha 4 na mtu aliyepata Zero walimu walikuwa wanafahamu kabisa kuwa ana asilimia kubwa sana za kupata zero kutokana na mwenendo wake kitaaluma

Hata Mock alipata Zero huyo mwanafunzi
 
Kibasila sec schools siku hizi wanazipita hizo shule zote hapo juu
Angalia matokeo ya Kidato cha 4 , cha 6 miaka mitano mfululizo utaniambia
Azania, Jangwani imebaki majina
Mkuu wa Kibasila apewe Maua yake
Hiyo Kibasila hamna kitu miaka hii hamna mwaka waliowazidi Dar sec ndani ya hyo miaka mitano
 
Kwa shule za serikali dar
1.Azania
2.Pugu
3.Dar sec
4.Jangwani
5.Benjamin
6.Chang'ombe(duce)
7.Kibasila
8.Mbezi beach
9.Jamhuri DSM
10.Zanaki girls
Hizi nadhani mzazi anaweza kuangalia uwezekano wa kupeleka mtoto na akiwa na ufatiliaji mtoto anaweza kufanya vizuri
Kabisa Mkuu mzazi akiwa na mtoto Shule hizi akikazia kwenye ufuatiliaji kidogo tu mtoto atafaulu sana zaidi ya hata hao Canossa,St Mary
 
Moja ni jitegemee jkt sec school kwa hapa dar ndio best school hasa upande wa nidhamu na self reliance
 
Moja ni jitegemee jkt sec school kwa hapa dar ndio best school hasa upande wa nidhamu na self reliance
Kitaaluma wako nyuma Bado wanazidiwa hadi na Mchanganyiko Secondary
 
Munabishana tuu ila hakuna anaeleta matokeo.
Basi tuseme shule zote hakuna kitu ni mbovu.
 
Munabishana tuu ila hakuna anaeleta matokeo.
Basi tuseme shule zote hakuna kitu ni mbovu.
Screenshot_20250203-093238_Chrome.jpg
 
sasa kumbe umekuja na majibu yako mfukoni mkuu.

Siku hizi kila shule inafaulisha. Tatzo inafaulisha kina nani ndio issue...
Kila shule inafaulisha? Umeangalia matokeo ya shule za kata zilizo huku Dar? Hiyo Azania imetoa vipanga wengi hata viongozi wengi wa serikali kama akina Bashungwa na Mwinyi wamesoma pale so haijaanza kufaulisha leo.
 
No 2 Azania secondary school

Al maarufu walijulikana kama Aza boy Hii nayo ni shule nzuri sana katika mkoa huu wa Dar es salaam Ni shule ambayo ina historia nzuri pia katika kutoa vipanga katika taifa letu
Pia imejaaliwa kuwa na walimu wengi na bora sana ufaulu wao ukichagizwa na commitment yao wanafunzi kwani tulikuwa tunakutana nao sanaa pale mchikichini kwa logman,mudy physics, mgote so hata uwe kilaza pale wenzako watakuinfluence ili ule msuli.
Kitaaluma wako vizuri sana japokuwa hatuioni hata top 20 lakini wanafunzi wao kiujumla wanafanya vizuri sanaView attachment 3056962
Mara ya mwishoo kufanya hii research lini
 
Back
Top Bottom